Kama wewe ni mhitimu katika Uhandisi au Utawala (Masoko, Mahusiano, Fedha) na una ari ya kujifunza, ukiwa na mtazamo chanya wa mafanikio namfuatiliaji wa maadili katika kazi, njoo ujiunge nasi katika bonanza hili la uchambuzi wa ajira.
RasilimaliWatu
Mauzo
Uhasibu
Masoko
Uhandisi
Kilimo
Nguo
Kwani unaweza ukawa mmoja kati ya watu  25 tutakao wachagua kwa ajili ya kujiunga kwenye program ya uendelezaji wa wahitimu wa vyuo vikuu.
Na ukibahatika kuwa mmojawapo kati ya hao utapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo katika viwanda vyetu vilivyopo maeneo mbalimbali.
Pia utapata nafasi ya kufundishwa mifumo ya uendeshaji wa viwanda vya kisasa.
Utakuwa chini ya wakufunzi waliobobea katika kazi zao duniani ambao watakuwezesha wewe kukua katika kazi na kushika nyadhifa kwenye kazi yako.
Zaidi ya yote hayo utakayofanyiwa pia utalipwa ili kujifunza
Kwa taarifa zaidi tazama vipeperushi vyetu:

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO