Hiyo ndiyo keki aliyoandaliwa mahususi Miss Gabriella Faith A.K.A Miss Cats-net ambaye leo ndio ametimiza siku yake ya kuzaliwa. 


Birthday Lady Miss Gabriella akimlisha mmoja wa wafanyakazi wenzake Bwana Spensor katika kusherehekea siku hiyo ya kuzaliwa kwake ambayo ameiadhimisha siku ya leo.


Miss Gabriella Faith akikata keki leo mbele ya wafanyakazi wenzake (hawapo pichani) kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo maarufu kama Birthday. 


Miss Gabriella akimlisha kwa madaha mmoja wa wafanyakazi wenzake Mr. Abbas wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo.

Wafanyakazi wa CATS-NET LTD Wanapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza Miss Gabriella kwa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo na wanamtakia maisha marefu na yenye baraka nyingi. 

"HAPPY BIRTHDAY GABRIELLA"

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO