BarakaDaPrince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la  Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili

Benpol katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia ijumaa

JohMakini akitumbuiza katika tamasha la Tamasha la tigo fiesta


Jux 


Wasanii Man Fongo na  Shilole   wakitoa   burudani ya singeli kwenye  tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa  Sokoine  jijini Mbeya usiku  wa  jumapili
Mr blue akitumbuiza umati wawakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya

Msanii Msami akiwa  amemnyanyua   mcheza shoo wake stejini  kuonyesha   uwezo wake wa kumiliki  jukwaa  kwenye  tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika  uwanja wa  Sokoine  jijini Mbeya usiku    wa jumapili.Wasanii Roma Mkatoliki   na Stamina wakionesha  umahiri  wao  wa  kufokafokakwakupokezana   kwenye   tamasha la Tigo fiesta lililofanyika  uwanja wa   Sokoine  jijini Mbeya usikuwa  jumapili.Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatolili
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta

Weusi wakilishambulia jukwaa la Fiesta


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO