MWANAMUZIKI Janet Jackson  ametangaza kwamba akiwa na umri wa iaka 50 natarajia kupata motto wake wa kwanza.
Aliliambai gazeti lapeiople Magazine kwamba yeye na mume wake wanamshukuru Mungu katika hilo.
Aidha alipiga picha kupamba jarida hilo huku mwili wake mbarikiwa ukionekana.
Aprili mwaka huu tetesi zilizounguka katika mitambo ya sosho midia kwamba mdada huyo ana ujauzito baada ya kuahirisha ziara yake aliyopibatiza 'Unbreakable'  alisema kwamba anataka kujikita zaidi katika masuala ya famnilia yake na mumewe, Wissam al-Mana.
Mdada huyo alionekana jijini London hivi karibuni akifanya manunuzi ya vifaa vya motto.
Katika twita ya Aprili mwaka huu aliwambia mashabiki zake kwamba anaahirisha ziara hiyo kwa kuwa kumetokea mabadiliko ya ghafla.
akiwa na mume wake

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO