Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akipokea madawati 85 kwa manispaa ya wilaya ya Iringa toka kwa Meneja wa Mauzo wa TIGO mkoa wa Iringa, Samwel Chamai kwenye hafla iliyofanyika ofisi za wilaya juzi

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na meneja wa  mauzo ya tigo  mkoa wa iringa  Samwel Chamai na wanafunzi wa manispaa ya Iringa

Wanafunzi wa shule za Manispaa ya Iringa wakishuhuhudaia makabidhiano ya madawati 85 toka kwa kamppuni ya simu Tigo
Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO