LEO nilikuwa Star TV Dar es salaam na Ben  na mdada wangu wa makini. Tulichambua magazeti na aliniuliza maswali na hili la ugaidi lilinipa taabu sana.
Nasema lilinipa taabu sana kwa sababu ukipitia katika mtandao wa komyuta unakutana na mambo mengi yanayosababisha vijan wadiogo kupigana ndani ya dola la Kiislamu. 
Huwezi kusema mengi unapokuwa hewani kwa sababu za msingi tu lakini kiukweli serikali ni lazima ifanye kitu Fulani hawa wasiokuwa na mwelekeo wakawa na uelekeo au la wataelekezwa na watu wengine. 

Mtu anaweza kusema ni hofu tu lakini hebu fuatilia link hii uone nini kinatokea Sweden taifa ambalo lipo mbele sana katika demokrasia. Wao ndio wanaoongoza kw akutumbukiza vijana katika dola la Kiislamu IS. Je sisi ni kisiwa? http://www.bbc.com/news/magazine-37578919

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO