MWANAMKE mmoja nchini Nigeria amemua mumewe kwa kumchoka visu kwa kuwa hakluweza kutoa fedha kwa ajili ya familia kwa sikukuu ya Krismasi.
Mauaji hayo yamefanyika eneo la Ikorodu  mjini Lagos.
Kwa mujibu wa Daily Post Iya Bose, alifanya mauaji hayo katika mtaa wa Majidun Awori huko Ikorudi, Lagos.
Msemaji wa Polisi Dolapo Badmos amethibitisha kuitokea kwa mauaji hayo na kusema kwamba mwanamke huyo ameshatiwa mbaroni na kwamba atafikishwa mahakamani baada ya u;elelelezi kukamilika.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO