Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru  kuhutubia mkutano wa hadhara.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 27, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 27, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya kikundi cha sana cha Chuo Kikuu cha Makumira cha Arusha baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa Ngaraseru - Usa River wilayani Arumeru kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 27, 2016

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO