PAMOJA na kupunguza bei ya huduma yao ya kuliwaza kwa wateja maalumu, makahaba nchini Nigeria wamesema kwamba sikukuu ya Krismasi ilikuwa na dhiki kubwa haikuwa na kazi na hivyo kukosa kipato kinene walichokuwa wakikitarajia.
Hivi karibuni katibu wa shirikisho la makahaba, Sandra Efosa, alisema kwamba wakati wa msimu wa sikukuu watapunguza bei ya huduma hasa kwa wale waendaji wa mara kwa mara na wenye kufika kwa huduma za makahaba kwa miaka mitatu mfululizo.
Katika punguzo hilo ambalo lilianza desemba 20, bei ya huduma ya muda mfupi ilikuwa ni Naira 500 wakati kwa siku ilishuka mpaka Naira 1,500.
Kipindi  wakati wa kampeni za uchaguzi makahaba walipeana tafu ya kumpigia Goodluck na walisema akishinda watu watapa huduma ya ngono bure kwa siku tatu mfululizo.
Mhariri wa Daily Post amesema kwamba nchini Nigeria kunakuwa na matumizi makubwa ya anasa wakati wa krismasi na wafanya biashara wengi huwa ni muda wa mavuno hasa profesheni fulani Fulani hasa ukahaba.
Hata hivyo mwaka huu imekuwa balaa na makahaba wamekuwa wakilalamika kwamba hali ngumu ya maisha katika mnyoosho wa Buhari umewafanya makahaba wa Lagos kulia.
Danguro muhimu  linaloitwa kama 7up, ambalo lipo mtaa mmoja na  Synagogue Church of All Nations huko  Ikotun,  Lagos  wakati wa Kriamsi walipotembelewa na mapaparazi walionekana wakiwa wamejibwetaka bila zila haso za kawaida  kama miaka mingine iliyopita.
Mapaparazi wamesema ukiangalia danguro hilo unaliona wazi kwamba haliko bize.
Ukosefu wa wateja uliolezwa wazi na kahaba mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Hawa ambaye alisema huku akiwaangalia mahakahaba wenzake ambao walikuwa wametulia tuw akisubiri wateja kwamba Buhari ametumaliza.

Alisema krismasi ya mwaka huu imekuwa balaa kwa makahaba wote kwani wateja hawapo na shamrahsmra za sikuu hazionekani hata kidogo. Binti huyo anasema kwamba kwa kipindi cha miaka mitano aliyokuwa katika danguro hilo, hajawahi kuona mambo magumu kama mwaka huu.
Anasema wanaume kama wasipokuwa na fedha wakati wa sikukuu hawawezi kabisa kutoka na kwenda kusherehekea sikukuu na makahaba.
"If money no dey for Christmas, wetin men wan spend for we wey be ashawo? In all the 5 years that I have been here, this is our worst Christmas.
"All the guys you are seeing now are only here to drink, smoke and enjoy the vibe. They are not coming in to relieve themselves of the extra sperm they carry about. Even those who want it badly are giving us low prices.
"It’s really a terrible situation. The recession is really harming us all. And na that Buhari cause am. Imagine me that used to have customers round the clock during Christmas and New Year period cannot even boast of one customer now.
"I am not sure those guys who always pay extra money to shout ‘Happy New Year’ inside me will even be coming this year. Buhari no do am well at all."
In one of the brothels, a pretty, fair-complexioned prostitute urged NAIJ.com reporter to part with a paltry N800 for a quick one while claiming she gave such an abysmal price because she needed to make something for the festivities.
She also said that there was nothing like 'promo' in her dictionary because that there are already low turn out of men.
The lady who identified herself as Tina also said that in all her years in the prostituting business, this year’s Christmas’ eve was the worst of all. She vehemently blamed President Buhari for the ugly situation.
Tina, who spoke in pidgin English, said:
"Na wa o. Nobody believe say Christmas wey dey bubble before fit be like this o and if no be for that yeye president wey we get for this country, things no go bad like this. When Jonathan dey there, people dey enjoy. That time, for Christmas time like this, business dey move well well. I dey get customer well well. But na only 4 people wey don follow me enter room today. How ashawo wan make money when people no come do? Which kin yeye promo you even dey talk about self?
"No be him cause this recession abi no be him government?”, she said in response to the reporter’s interruption. “The thing wey dey even pain me be say, I don get budget for January next year and I no sure say I fit meet the target now. You see, I no go forgive that Buhari if I no meet my target.
"As the thing dey vex me reach, my brother wey dey support Buhari for our town call me say make I send am money, na curse I curse am. The Buhari wey him support na him spoil business for ashawo now. The man don finish us.
The pain voiced by the prostitutes above reflect the true situation of prostitutes across Lagos.
When NAIJ.com also visited Ojuelegba area of Lagos state on Christmas Day, it was also the same story of low turnout in the different brothels and motels visited.
Judith, a prostitute who also spoke to NAIJ.com only after demanding payment for her ‘precious time’, said that the downturn in the country’s economy was the reason for the low patronage of prostitutes during this year’s Christmas.
She blamed President Buhari for the ugly situation, describing the situation as ‘unprecedented’ in the history of prostitutes in Nigeria to suffer such low turnout during festive season.
"I won’t deceive you; this is probably the worst Christmas ashawo people in Nigeria will be celebrating and for Lagos here, our own still even better. My friend wey dey do ashawo business for Abeokuta don nearly die.
"She call me for phone this afternoon say, she don do only 3 men since yesterday. Imagine and all of them na short time. How much that money go be? For Christmas o, eh! Buhari! Buhari!"
From all the submissions above, indeed, 2016 Christmas has not gone well for Lagos prostitutes and even Nigeria at large but the pink ladies are hopeful that other Christmases which will come their way in the nearest future would be better.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO