Baba mzazi wa marehemu Denis Komba Savelin Komba kulia,akizungumza na mwandishi wa gazeti  la habarileo Muhidin Amri,nyumbani kwa marehemu Mateka katika manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Baba mzazi wa marehemu Denis Komba,Savelin Komba

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Denis Komba ,mtaa wa Mateka manispaa ya Songea mkoani Ruvuma jana,aliyefariki Dunia jana na kuzikwa leo  katika makaburi ya mateka baada ya wananchi kumuua nyoka wake na yeye kufa katika tukio linalohusishwa na imani za kishirikina.

Mmoja wa wanafamilia akimuonesha nyoka wa ajabu kwa waombolezaji waliofika katika mazishi ya marehemu Denis Komba nyumbani kwake mtaa wa Mateka mjini Songea.

Nyoka wa ajabu anayehusishwa na kifo cha Denis Komba aliyefariki Dunia jana baada ya wananchi kumuua nyoka na Denis kufariki dunia katika tukio linahusishwa na imani za kishirikina akiwa amekatwa kichwa na familia ya marehemu ambapo Denis alizikwa kaburi la peke yake, mwili wa nyoka ulizikwa peke yake na kmichwa kilizikwa peke yake.Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO