Mkazi wa Kijiji cha Kilosa kwa Mpepo, Tarafa ya Ngoheranga, wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akipata kifungua kinywa akiwa nje ya makazi yake kama alivyokutwa hivi karibuni kijijni hapo. Ukitazama eneo lenyewe na shughuli za kiuchumi zinazoendeshwa hapo mtu huyu kuwa na nyumba ya nyasi ambayo haina hata uzuri ni dalili mbaya za fikira za kimaskini. Bado anaweza kuwa na nyumba ya tofali za kuchoma na kuezeka vyema  nyasi zake.
Source: John Nditi.


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO