Waziri mkuu kassim majaliwa amewasili mkoani dodoma leo asubuhi kwa ajili kuhudhuria vikao vya bunge  ambavyo vinatarajiwa kuanza kesho jumanne 

waziri mkuu ameongozana na mkewe Mary majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali ambao wametumia usafri wa ndege ya abiria ya ATCL inayo pitia Dodoma kuelekea kigoma

katika uwanja wa ndege waziri mkuu amepokelewa na mkuu wa mkoa wa dodoma Jodan Rugimbana pamoja na viongozi waserekali na chama wa mkoa wa dodoma

Hivi karibuni waziri mkuu alizindua safari za ndege ya ATCL kati ya Dodoma na Kigoma​

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO