Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mkaa wa mawe ulivyo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Tancoul Bwana Mark McAnderew  wakati alipotembelea mgodi wa makayamawewa Ngaka unaomilikiwa na kampuni ya Tancoal uliopo wilayani Mbinga  kushoto kwa waziri mkuu ni Mwenyekiti wa bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa Rasilimsilimali watu wa kampuni ya Tancoul Ms  Pendo Mweli wakati alipotembelea mgodi wa makayamawe unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo Ngaka wilayani Mbinga  Mkoani Ruvuma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia shughuli za uchimbaji wa maka ya mawe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mahenge pamoja naviongozi mbalimbali walipotembelea mgodi wa Ngaka

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO