Meneja wa Tawi la FNB Arusha, Genevieve Massawe akimueleza Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji jinsi mashine ya kisasa
ya kuweka fedha (cash deposit) na kutoa fedha. Mashine hiyo ya kisasa
inamwezesha mtumiaji kuweka fedha zake benki  muda wa masaa 24
imewekwa kwenye tawi hilo jipya ili kuwawezesha wananchi kuweka akiba
fedha zao muda wowote ule.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO