Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei, leo akionesha kwa waandishi wa habari kifurushi kilichohifadhi dawa za kulevya aina ya heroine iliyokamatwa wakati wa oparesheni ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya iliyofanyika hivi karibuni mkoani hapa. Magunia unayoyaona ni viroba 39 vya bangi pamoja na mirungu |
Post a Comment
Post a Comment