AZANIA WATWAA KOMBE LA STANDARD KUWAKILISHA AFRIKA MASHARIKI ENGLAND Inbox x

WATANZANIA wamepata nafasi ya kuwakilisha Afrika Mashariki katika uwanja wa mpira wa Anfield unaotumiwa na Liverpool baada ya timu iliyoku...

WATANZANIA wamepata nafasi ya kuwakilisha Afrika Mashariki katika uwanja wa mpira wa Anfield unaotumiwa na Liverpool baada ya timu iliyokuwa inawakilisha ya Azania Group kutwaa ubingwa wa Standard Chartered 2017. Katika michuano hiyo iliyohusisha klabu zilizoingia fainali kutoka Tanzania, Kenya na Uganda mwakilishi wa timu ya Liverpool mchezaji Gwiji John Barnes na mabalozi wa Uingereza, Uganda na Kenya, Azania ilionesha kandanda safi . Azania imepata nafasi ya kutwaa kombe hilo katika Mashindano hayo ambayo yanajulikana kama ‘Standard Chartered-Road to Anfield Tournament’ kwa tofauti ya magoli katika kipute ilichokipiga na Capital FM katika viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park jijini Dar es Salaam jana. [caption id="attachment_622" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande (kushoto) akiwasili kwenye viwanja vya JK Youth Park na kupokelewa na Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba (katikati) wakati wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield mwaka 2017 yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam.(Picha zote na thebeauty.co.tz)[/caption] Azania Group of Companies ambayo ilikuwa inawakilisha Tanzania ilijikusanyia pointi saba kama ilivyokuwa Capital FM kutoka Kenya lakini waliweza kupata nafasi kutokana na kujipatia magoli matatu zaidi dhidi ya Kenya ambao walikuwa na magoli mawili. Mpira huo ambao ulichezwa kwa dakika tano kila upande ulikuwa mkali na ambao ulishindwa kutoa utabiri wa wazi nani ataibuka mshindi na hivyo kupata nafasi ya kuingia uwanja wa Anfield Mei mwaka huu kuangalia mechi za Liverpool. Baada ya kila timu kuicheza mechi tatu katika raundi ya kwanza na kila mmoja kujipatia pointi tatu waliingia katika raundi ya pili. [caption id="attachment_624" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande (mwenye kofia) akizungumza na timu ya Capital FM baada ya kuwasili kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam.[/caption] Katika michuano hiyo Coca cola ya Uganda ilicheza dhidi ya Azania Group of Companies na kuondolewa mapema katika michuano hiyo pamoja na watu wake kuwa na miili ya soka. Kutokana na Uganda kuondolewa mapema, Azania waijikuta wakikabiliana na washindi wa mwaka uliopita mabingwa wa Kenya. Kenya walicheza mpira ambao ulileta taabu sana, mpira wa kujihami na hivyo kutibua mbinu waliyokuwa nayo Azania ambao walitaka kumaliza game mara moja. Unaweza kusema kwamba kipa wa Capital FM’s, Shafi Sudi ndiye alikuwa staa wa mechi kutokana na kufanikiwa kuzuia kasi ya mashambulizi kutoka Azania yaliyokuwa yakiongozwa na Nahodha Shabaka Hamis. [caption id="attachment_625" align="aligncenter" width="1404"] Balozi wa Uganda nchini, Mh. Dorothy Samali Hyuha (mwenye tisheti nyeupe) akizungumza na timu ya Coca cola kutoka Uganda mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya JK Youth Park kushuhudia fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam.[/caption] Kutokana na fainali hizo kutokuwa na mfumo wa penati timu ambayo inamaliza gemu ikiwa na pointi zaidi huwa ndio washindi na katika hilo Watanzania ndio wawakilishi wa timu za Afrika Mashariki katika uwanja wa Anfield. Kutokana na ushindi huo Capital FM wanakuwa wa pili na nafasi ya tatu inashikwa na Coca cola ya Uganda. Akizungumza baada ya gemu kumalizika, Rajab Ali ambaye ndiye aliyeibeba Azania Group alisema kwamba alikuwa na furaha kubwa kwenda kuishuhudia Liverpool FC ikikipiga katika uwanja wa Anfield kwani ndilo ilikuwa nia yao kubwa. [caption id="attachment_626" align="aligncenter" width="1404"] Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes (katikati) akiwasili pamoja na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani (kushoto) na kupokelewa na Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa benki hiyo, Juanita Mramba walipowasili kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam.[/caption] Naye nahodha wa Capital FM, Lassie Atrash alisema kwamba wameshindwa kufanya vyema kwa kuwa uwanja ulikuwa mdogo. Hata hivyo alisema ulikuwa ni mchezo safi na mshindi ilikuwa lazima apatikane na kusema kwamba ana matumaini kuwa Azania itawawakilisha vyema Afrika Mashariki huko England. Awali mchezaji John Barnes akizungumza kabla ya michezo hiyo alisema anafurahishwa na kutambua kwamba soka linatengenezwa Afrika Mashariki na hivyo kuondoa dhana potofu kwamba soka katika Afrika linapatikana Afrika magharibi pekee. [caption id="attachment_627" align="aligncenter" width="1404"] Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes akitambulishwa kwa Mwakilishi wa Balozi wa Uingereza, Daniel Rathwell alipowasili kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba.[/caption] Alisema kwamba amefurahishwa na kuona kwamba Liverpool imepata mashabiki wengi kutoka Afrika ambao wanatengeneza familia ya timu hiyo katika sera iliyoanzishwa miaka ya 1960 ya kuwa na wapenzi na mashabiki wa damu wa timu hiyo. Aidha alizungumzia uhusiano wao na walezi Standard Chartered na kutabiri kwamba Tanzania itaibuka washindi kutokana na yeye kuwapo Kenya mwaka uliopita na Kenya kufanikiwa kwenda England kuishuhudia Liverpool. Pamoja na mchezaji huyo mahiri wa zamani wa Liverpool kuzungumza katika fainali za tuzo hizo, wapenzi wa michezo pia walipata kusikia nasaha kutoka kwa Balozi wa Uingereza nchini, Balozi wa Uganda na mwakilishi wa Kenya. [caption id="attachment_628" align="aligncenter" width="1404"] Meza kuu kwenye fainali za mashindano ya Standard Chartered Road to Anfield 2017, kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine, Mwakilishi wa Balozi wa Uingereza, Daniel Rathwell, Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes, Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani, Balozi wa Uganda nchini, Mh. Dorothy Samali Hyuha pamoja na Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande.[/caption] [caption id="attachment_629" align="aligncenter" width="1404"] Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes akiwasalimia washiriki wa fainali mashindano hayo ya Standard Chartered road to Anfield 2017 yaliyomalizika jana jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_630" align="aligncenter" width="1404"] Timu ya Coca cola Uganda ikiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza fainali za mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_631" align="aligncenter" width="1404"] Timu ya Capital FM kutoka Kenya ikiimba wimbo wa Taifa kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_632" align="aligncenter" width="1404"] Kikosi cha timu ya Azania Group of Companies wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 zilizofanyika kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_633" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji Mkuu wa Azania Group of Companies, Fuad Edha Awadh (kulia) akishiriki kuimba wimbo wa taifa na vijana wake kabla ya kuanza kwa fainali za mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_634" align="aligncenter" width="1404"] Balozi wa Uganda nchini, Mh. Dorothy Samali Hyuha katika picha ya pamoja na timu ya Coca cola kutoka nchini Uganda.[/caption] [caption id="attachment_635" align="aligncenter" width="1404"] Meza kuu ikisalimiana na wachezaji na kuwatakia kheri ya mchezo mwema.[/caption] [caption id="attachment_636" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande katika picha ya pamoja na timu ya Capital FM kutoka Kenya.[/caption] [caption id="attachment_637" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani akijumuika na wadau wa soka kupasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mechi za fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 katika viwanja vya JK Youth Park.[/caption] [caption id="attachment_638" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani (kulia) akibadilishana mawazo na Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes wakati wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika viwanja vya JK Youth Park.[/caption] [caption id="attachment_639" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani akizungumza na wageni waalikwa pamoja na washiriki wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017.[/caption] [caption id="attachment_640" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande akitoa salamu kwa washiriki wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 katika viwanja vya JK Youth Park.[/caption] [caption id="attachment_641" align="aligncenter" width="1404"] Balozi wa Uganda nchini, Mh. Dorothy Samali Hyuha akiwasalimu washiriki wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 katika viwanja vya JK Youth Park.[/caption] [caption id="attachment_642" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Ubalozi wa Uingereza, Daniel Rathwell akizungumza kwa niaba ya balozi wake kwenye fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield yaliyofanyika katika viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_644" align="aligncenter" width="1404"] Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesiga Celestine, akitoa salamu za TFF kwa wageni waalikwa na washiriki wa fainali za mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_645" align="aligncenter" width="1404"] Wafanyakazi wa Standard Chartered Bank na wadau wa soka waliohudhuria fainali za mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_656" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji Mkuu wa Azania Group of Companies, Fuad Edha Awadh (kulia) akitazama vijana wake walipokuwa uwanjani.[/caption] [caption id="attachment_646" align="aligncenter" width="1404"] Benji la ufundi la Azania Group of Companies.[/caption] [caption id="attachment_647" align="aligncenter" width="1404"] Mechi ya utangulizi kati ya mashabiki wa timu ya Liverpool (tisheti nyeupe) na wafanyakazi wa benki ya Standard Chartered (vesti nyekundu) ambapo mashabiki wa timu ya Liverpool waliinyuka benki hiyo bao 1-0.[/caption] [caption id="attachment_648" align="aligncenter" width="1404"] Kiungo wa timu ya Azania Group of Companies, Rajabu Ali akiwatoka wachezaji wa timu ya Coca cola kutoka Uganda.[/caption] [caption id="attachment_649" align="aligncenter" width="1404"] Nahodha wa Capital FM, kutoka Kenya, Lassie Atrash akizungumzia mchezo ulivyokuwa kwa wanahabari mara baada ya fainali hizo kuisha na Tanzania kuchukua ubingwa.[/caption] [caption id="attachment_650" align="aligncenter" width="1404"] Mbunge wa Mbinga Mjini Sixtus Mapunda (kulia) na watoto wake katika picha ya pamoja na Gwiji wa soka duniani kutoka klabu ya Liverpool nchini Uingereza, John Barnes kwenye viwanja vya JK Youth Park jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_651" align="aligncenter" width="1404"] Mashabiki wa Liverpool wakiimba wimbo "You'll never walk alone" pamoja na Gwiji huyo John Barnes.[/caption] [caption id="attachment_655" align="aligncenter" width="1404"] Mbunge wa Mbinga Mjini, Sixtus Mapunda (katikati) akikabidhi zawadi kwa mmoja wa waamuzi wa fainali za mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017 yaliyofanyika jana katika viwanja vya JK Youth Park jijini Dar. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani akiushuhudia tukio hilo.[/caption] [caption id="attachment_657" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa Balozi wa Kenya nchini, George Alande akiwavisha medali washindi watatu timu ya Coca cola ya Uganda katika mashindano ya Standard Chartered road to Anfield 2017. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani akiushuhudia tukio hilo.[/caption] [caption id="attachment_658" align="aligncenter" width="1404"] Picha ya pamoja na washindi watatu wa mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_659" align="aligncenter" width="1404"] Balozi wa Uganda nchini, Mh. Dorothy Samali Hyuha akiwavisha medali washindi wa pili wa Standard Chartered road to Anfield 2017 timu ya Capital FM kutoka Kenya. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani (wa pili kushoto) na Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa benki hiyo, Juanita Mramba wakiushuhudia tukio hilo.[/caption] [caption id="attachment_658" align="aligncenter" width="1404"] Picha ya pamoja na washindi watatu wa mashindano hayo.[/caption] [caption id="attachment_660" align="aligncenter" width="1404"] Picha ya pamoja na washindi wa pili wa mashindano hayo timu ya Capital FM kutoka Kenya.[/caption] [caption id="attachment_664" align="aligncenter" width="1404"] Mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya Liverpool John Barnes akimvisha medali Nahodha wa Azania Group, Shabaan Hamis baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa 2017. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani.[/caption] [caption id="attachment_654" align="aligncenter" width="1404"] Mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya Liverpool John Barnes (kulia) akikabidhi kombe kwa timu ya Azania Group of Companies kutoka Tanzania, ambao ni mabingwa wa mashindano ya Standard Chartered road to Anfield mwaka 2017 jijini Dar es Salaam jana.Pamoja naye ni Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Sanjay Rughani (aliyezibwa).[/caption] [caption id="attachment_661" align="aligncenter" width="1404"] Mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya Liverpool John Barnes (katikati) akiselebuka pamoja na wachezaji wa timu ya Azania Group kutoka Tanzania, mara baada ya kuikabidhi kombe la ubingwa wa mashindano ya Benki ya Standard Chartered road to Anfield mwaka 2017 jijini Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni Mkuu wa Uhusiano na Masoko wa benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Sanjay Rughani (aliyezibwa).[/caption] [caption id="attachment_662" align="aligncenter" width="1404"] Mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya Liverpool John Barnes (katikati) akifurahi pamoja na viongozi na wachezaji wa timu ya Azania Group kutoka Tanzania (walioko mstari wa nyuma) mara baada ya kuikabidhi kombe la ubingwa wa mashindano ya Benki ya Standard Chartered road to Anfield mwaka 2017 jijini Dar es Salaam jana.Wengine pichani ni Mkuu wa Uhusiano na Masoko Juanita Mramba (wa pili kushoto), Mtendaji Mkuu wa benki hiyo Sanjay Rughani (wa tatu kushoto), Balozi wa Uganda nchini Mh. Dorothy Hyuha, (wanne kushoto) na Mbunge wa Mbinga Mjini Sixtus Mapunda na Mtendaji Mkuu wa Azania Group of Companies, Fuad Edha Awadh (kushoto).[/caption] [caption id="attachment_666" align="aligncenter" width="1404"] Abdullah Zulu Lyana (katikati) katika picha ya pamoja na mashabiki wenzake wa timu ya Liverpool.[/caption] KAWAIDA

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,301,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4810,habari. dodoma,23,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: AZANIA WATWAA KOMBE LA STANDARD KUWAKILISHA AFRIKA MASHARIKI ENGLAND Inbox x
AZANIA WATWAA KOMBE LA STANDARD KUWAKILISHA AFRIKA MASHARIKI ENGLAND Inbox x
http://www.thebeauty.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/George-Alande.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2017/03/azania-watwaa-kombe-la-standard.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2017/03/azania-watwaa-kombe-la-standard.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy