Majina ya wanafunzi walikufa kwa ajali ya gari  wakielekea katika study tour wilayani Karatu wakitokea shule ya lucky Vincent ni Aisha Said, Anold  Alex, Gladness Goodluck, Junior Mwashuy, Praise Ronald, Witness Moses, Heavenlight Mcharo 

Wengine ni Eliapenda Eliudi, Rukia Halfan, Justine Alex, Rehema Msuya, Irene Kishari, Prisca Charles, Ian Tarimo, Shedrak Bikhet, Sabrina Saidi, Rachel Gidion, Airene Moses, Hagai Lucas 

Rehema Eliwadi, Rebeca Daudi, Dismas Kessy, Innocent Papian (mwalimu) Oumuh Rashid, Gema Gerald, Grayson Masawe, Julius Bonge, Joel Lucas, Naomi Hosea, Ruth Ndemno, Saada Ally, Neema Martin, Witness Philemon  na Musa Khamis 

Aidha kwa mujibu wa mtu wa mochwari baadhi ya miili ya watoto hao imehamishiwa hospitali ya Celian kwasababu mochwari ya Mount Meru ilikuwa imejaa . Maiti zilizohamishiwa huko ni saba nao ni Neema Martin, Oumuh Rashid, Gema Mchome, Irene Moses, Rebeka Daudi, Hagai Lucas na Rachel Gidion 

Wazazi na walezi walikusanyika tangu asubuhi ya jana kwa ajili ya kuja kuwaona watoto hao huku wakisoma majina yaliyobandikwa ili kujua kama wapo hospitali hiyo au Hospitali ya Celian


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO