WAKAZI wa Lusaka wameanza kurejea kuishi kwa mashaka baada ya maiti moja kuokotwa ikiwa na changamoto kubwa za kutokuwa na  viungo vyake kadhaa.

mwaka jana mauaji ya aina hiyo yalifanya Wazambia watembee kwa woga.

Polisi mjini hapa wamesema kwamba Mei 18 mwaka huu  majira ya saa nane na nusu usiku muuza magazeti  aliwaambia kuwapo kwa tukio la mtu mmoja anakokotwa kwa nguvu na watu kadhaa maeneo ya Zingalume.

Walipofika eneo la tukio wakifuatia walikuta damu na  kuitakuta maiti ya mtu huyo anayesadikiwa kuwa kati ya miaka 30-35.

Mwili wa mtu huyo ulikutwa umeondolewa maeneo kadhaa ya mwili sikiol la kulia, nyeti zake na tumbo lake likiwa limepasuliwa.

Polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO