Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Meneja Masoko Msaidizi wa Coca-Cola,Pamela Lugenge,akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla, akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za shule zitakazoshiriki mashindano ya UMISSETA Copa Coca-Cola wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla pamoja na maofisa wa kampuni ya Coca-Cola wakipasha mwili kwa mazoezi kabla ya uzinduzi wa mashindano hayo.   Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akikagua baadhi ya timu za wanafunzi wakati wa uzinduzi wa mashindano ya UMISSETA Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mwishoni wa wiki
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari wakifanya mazoezi kwa kushirikiana na wachezaji wa Mbeya City wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wakionyesha umahiri wa kusakata kabumbu wakati wa uzinduzi wa mashindano katika uwanja wa Sokoine mwishoni mwa wiki.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO