.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, ( ndani yam taro) akisaidiana na Mkurugenzi Mtendaji  wa Mamlaka   ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira  Manispaa ya Morogoro (MORUWASA) , Mhandisi Nicholaus  Angumbwike  ( nje wa kwanza  kushoto)  pamoja na baadhi ya mafundi wa maji kulaza bomba chini ya m taro, jana ( Mei 24)  wakazi wa ziara ya kukagua shughuli ujenzi wa miundombinu ya maji   mtaa wa  Kihonda Kaskazini , Kata ya Kihonda .Source: John Nditi.
……………………….


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO