Victoria Silvstedt
Unadhani kwamba tamasha la filamu ni kuangalia filamu pekee? Hapana hapa cannes yako mambo mengi yanayofanyika katika maeneo ya Cote d'Azur hapa pia unakutana na boti nyingi za kifahari na katika kipindi cha cannes , botyi hizi hushindana ukubwa na uzuri. na hata waliimo ndani yake huwa waziri vivyo hivyo. Modo wa Kiswidi Victoria Silvstedt alionwa ndani ya mashua ya kifahari Daddy Cool.


Watu wenye  majina yao katika shughuli mbalimbali za urembo wametumia mawasiliano ya Instagram kuonesha ni namna gani wanavyorembeka na bosti za kifahariw akati wakihudhuria moja ya matamsha makubwa ya filamu duniani, tamasha la cannes


Hailey Baldwin, Bella Hadid na Emily Ratajkowski
Hapakuwapo na maana ya kukodisha boti ya kifahari kubwa ya mita 86 we pekee. Kutokana na hali hiyo aliamua kuwa na  akina Emily Ratajkowski ndani ya Ecstasea akiwa pia na warimbwende (modo) wenzake Hailey Baldwin na  Bella Hadid. Kiukweli Hadid and Ratajkowski wote wapo Cannes kama mabalozi wa vito wa jumba la Bulgari wakati Baldwin naye yuko kwa sababu hiyo hiyo lakini kwa ajili ya  De Grisogono.

Naomie HarrisMuigizaji mwenye haiba yake ambaye ni raia wa Uingereza Naomie Harris  aliingia katika maonesho ya Cannes kwa mbwembe za aina yake akiwa ndani ya boti ya kifahari pia amezindua vito vyake kama unavyomuuona vilivyotengenezwa na Swarovski. Ingawa yeye alikuw ana boto ya kifahari ndogo zaidi kuliko mastaa wenzake, alifanya mambo makubwa na boti hiyo pamoja na kuwa na siku ya starehe katika boti.

Justine Skye na Hailey Baldwin
Katika boti yao ya kifahari walikuwapo pia akina Ratajkowski, Baldwin na Hadid : alikuwapo pia mwimbaji wa Marekani ambaye pia ni mwandishi wa mistari Justine Skye. Baldwin alitupia video katika  insta inayoonesha juu kuko wazi lakini wakiwa katika raha kubwa, jamaa pia walifanya hafla ya dansi.

Lindsay Lohan
Muigizaji Lindsay Lohan amefunga kazi kwakuwa ndani ya boti si tu ya kifahari bali mashuhuri ya mita 86 ya Van Der Werf  kwa jina Chakra ikiwa ni sehemu yake ya mapumziko akiwa katika pilikapilika za Cannes. Staa huyu ameshea picha nyingi tamu zikiwemo za mapishi ya kimediterranea.  Chakra kwa sasa ipo katika orodha ya boti zinazotafutiwa wateja na SSH Maritime.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO