Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo ( kushoto) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru  mwezake wa mkoa wa Morogoro , Dk Kebwe Stephen Kebwe , (kulia)  mpakani mwa mikoa hiyo miwili  eneo la Bwawani  katika kijiji cha Gwata mara baada ya kumaliza mbio zake  mkoani humo   juzi ( Juni 10) na kuanza rasmi kukimbizwa mkoani  Morogoro na kuanzia  kwenye  kijiji hicho katika  halmashauri ya wilaya ya Morogoro.( Picha na John Nditi).

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO