MUIGIZAJI wa Nollywood  amepaniki na kusema kwamba wanawake wenzake wanamtaka na kumsababishia usumbufu mkubwa.
Muigizaji huyo Ruth Eze,ambaye alishawahi kusikika akisema kwamba alichafua nguo yake ya ndani waliposhikana mikono na Genevieve Nnaji  amesema majimama wa Abuja wanasumbua si kidogo.
Anasema walifika hadi katika nyumba yake aliyofikia na  walipokuwa wakizungumza walimahidi ‘mbingu’ ili mradio atoke nao.
Akizungumza na  Sun News,  amesema kwamba wadada wa Abuja wenye kamchezo ka usagaji wamekuwa wakimtaka kwa udi na ubani.
‘Wiki iliyopita nilikwenda Abuja kwa ajili ya utengenezaji wa sinema  sijui nani kawaambia kwamba nipo mjini pale na wakanifuata hotelini’
Akaongeza kwamba hali ilikuwa tete chumbani pale kwani waliingia wakidanganya kwamba walikuwa washirika wangu wa pale Abuja.
 ‘kwanza sikujua matakwa yaom, nikawakaribisha kw amoyo mkunjufu. Lakini ghafla wakaanza kuzungumza maneno ya mapenzi kwangu, nikawadharau huku nikichezea simu yangu.’
Akasema kwamba alidhani yale maneno matamu yalikuwa ni mzaha tu hadi pale wadada wale walipoanza kumtomasha.
 Ilipofika pale mmoja alikuja karibu ami na kuanza kunishika visivyo maeneo yasivyo nikajua si mzaha, nikamkatalia na kumuuliza kwanini anafanya vile.
‘Akaniambia kwamba baada ya kusoma mahojiano yangu na gazetil a Saturday Sun ambayo nilisema kwamba ‘ nilichafua nguo yangu ya ndani baada ya kushikana mikono na Genevieve ’ waliojua kwamba na mimi ni msagaji.
Muigizaji huyo alisema kwamba aliwaambia kwamba kuchafuka kwake hakuwa na maana kwamba yeye anawapenda wanawake wenzake, ila namna ninavyofurahiwa na uigizaji wa Genevieve, bado hawakumuamini wakaanza kumpa ahadi moto moto.
Wadada waliniahidi mbingu na dunia kama nitawakubalia na kujiunga nao.
Alisema aliogopa sana hadi akaamua kumpigia simu rafiki yake wa kiume kuwaonesha kwamba yeye hana mzuka na wanawake wenzake nab ado hawakutaka kumuamini.
Anasema aliogopa kwamba watambaka kwa kuwa walionekana kuwa tayari kwa hilo,.
Hata hivyo anasema sakata hilo liliisha salama


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO