KAMPUNI kubwa ya vifaa vya kielektroniki, Toshiba ya Japan imesema kwamba  hasara ya mwaka jana ni kubwa kuliko ilivyokadiriwa awali.
Kam;puni hiyo inafikiria kwamba  kiwango cha hasa kitaongezeka wakati hesabu zitakapofanyika hadi Machi mwaka huu/
Kampuni hiyo inajitabiria hasara ya Yeni bilioni 995 ifikapo Machi mwaka huu kuliko tabiri za awali za haasara ya Yeni Bilioni 950.
Aprili mwaka huu Toshiba wamesema hali yake ya baadae ni kitendawili kutokana na changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo.
Kahifa ya kihesabu iliyotoklea mwaka 2015 iliipatia msukumo mbaya kampuni hiyo ambayo ilidai kuwa kwa miaka 7 ilikuwa inapata faida ya dola za Marekani bilioni 1.2.

Hali ikawa mbaya zaidi januari mwaka huu baada ya kubauinika kwamba kampuni yake tanzu iliyopo Marekani, Westinghouse ina tatizo la kifedha.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO