Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akizungumza na wadau wa takwimu
wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini
Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa
kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
|
Post a Comment
Post a Comment