Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngeleja (kushoto)  akionesha nakala ya malipo ya kiasi cha shilingi milioni 40.4 alizozirejesha Serikalini (TRA) fedha alizopewa kama msaada toka kwa Bw. James Rugemalira wa Kampuni ya VIP Engeneering and Marketing Ltd, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa.


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO