WAKATI UMEFIKA WANAWAKE KUAJIRI NA KUFUKUZA-MONGELA

Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela amesema wakati umefika kwa wanawake kuajiri na kufukuza. Alitoa kauli hiyo katika shere...

Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela amesema wakati umefika kwa wanawake kuajiri na kufukuza. Alitoa kauli hiyo katika sherehe za Uzinduzi wa Jukwaa la Kuwaendeleza Wanawake Afrika (WAA) iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo linasimamiwa na Taasisi ya Graca Machel. Mama Mongela alikuwa akijibu maswali ya waandishi kuhusiana na hisia zake baada ya uzinduzi na majadiliano ya Kitabu “Women Creating Wealth” ambazo ni simulizi la wanawake wajasiriamali katika bara la Afrika, waliofanikiwa na safari yao katika ujasiriamali. Alisema ingawa wakati wa Mwalimu Nyerere juhudi zilifanyika kuwawezesha wanawake, kundi hilo lilibaki kufanyakazi za kufungasha au kushona, lakini kizazi cha sasa kimeendelea kiasi ya kwamba kina uwezo wa kufanya uwekezaji na kuwa waajiri. [caption id="attachment_2654" align="aligncenter" width="1404"] Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela akifanya mahojiano na mwandishi wa kituo cha Televisheni cha ITV, Henry Mabumo mara baada ya uzinduzi wa kitabu cha Kitabu “Women Creating Wealth” wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Jukwaa la Kuwaendeleza Wanawake Afrika (WAA) iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo linasimamiwa na Taasisi ya Graca Machel.(Picha zote na Thebeauty.co.tz)[/caption] Alisema amefurahishwa sana na maelezo ya ndani ya kitabu hasa safari mbalimbali za wanawake kuanzia vijana na wale wa kati ambao wamethubutu na kuonesha njia ya ujasiriamali bila kukata tamaa na hivyo kuwa mfano kwa wengine. Alisema katika mahojiano hayo kuwa wanawake kwa sasa wakati umefika wa kuwa na viwanda vikubwa, kumiliki na kuwezesha mabadiliko ambayo yatachochea maendeleo binafsi, familia na hata taifa. Anasema wanawake waliachwa nyuma kutokana na wanaume kutotambua au kutokubali uwezo wa mwanamke na sasa vijana wanaonesha kwamba wanawake wanaweza na wanathubutu. [caption id="attachment_2655" align="aligncenter" width="1404"] Mshereheshaji wa uzinduzi wa kitabu cha Kitabu “Women Creating Wealth” Mwasisi wa Re-Write, Chidiogo Akunyili akisherehesha uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency-The Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.[/caption] Pamoja na kazi hizo amesema wakati umefika wa wanawake kutumia akili ili siku moja kipuri kitengenezwe na mdada na watu wajisikie fahari kwenda kukitumia. Akizungumzia kitabu hicho Mwasisi wa mtandao wa She Inspires Her, Lisa O'Donoghue-Lindy amesema kwamba kinatoa maelezo ya safari ya wajasiriamali wa kike, dhiki zao, changamoto na namna walivyoanzisha ujasiriamali wakati mwingine wakiwa na fedha kidogo kiasi cha dola 23 katika mifuko yao. Alisema kitabu hicho kimeandaliwa kutoka wajasiriamali mbalimbali takribani 60 wa bara la Afrika kwa lengo la kutoa hamasa kwa wajasiriamali wengine ambao wanachipukia au wale ambao wanataka kuthubutu. [caption id="attachment_2656" align="aligncenter" width="1404"] Muasisi wa mtandao wa She Inspires Her, Lisa O'Donoghue-Lindy akielezea yaliyomo kwenye kitabu cha "Women Creating Wealth” ambacho ni simulizi za wanawake 60 wajasiriamali katika bara la Afrika, waliofanikiwa na safari yao katika ujasiriamali.[/caption] Alisema kwamba maelezo yaliyomo ndani ya kitabu hicho ni binafsi mno, kwani walizungumzia ubunifu na safari ya kiuchumi waliyoianzisha wadada hao na namna waliyvoondoka katika changamoto mbalimbali. Aidha kimelenga kushawishi watoa maamuzi kutoa nafasi ya wanawake kuendelea na kuona umuhimu wao katika kuimarisha maendeleo na usawa. Miongoni mwa watu waliomo ndani ya kitabu hicho Jacqueline Mengi, Esther Karin Mngodo, Devotha Minzi na Mtendaji wa kampuni ya uhandisi ya Mount Carmel Seline Mwenelupembe. Wapo pia wajasiriamali kutoka Kenya, Uganda na Kongo ya Kinshasa. Akizungumza kuhusu kuwamo katika kitabu hicho Jacqueline Mengi alisema anajisikia furaha kuwa mfano wa kuwafundisha wengine, akisema kwamba anaona fahari kuwaambia wanawake wenzake kwamba kujiamini ni silaha muhimu na kwamba ukishinda nafsi ni lazima ufanikiwe. [caption id="attachment_2657" align="aligncenter" width="1404"] Mtendaji wa kampuni ya uhandisi ya Mount Carmel Ltd Seline Mwenelupembe ambaye ni mmoja wa wanawake wajasiriamali waliomo ndani ya kitabu hicho akielezea safari yake ya ujasiriamali ambapo mpaka sasa ametoa ajira ya kudumu kwa watu 50 nchini kwake.[/caption] Aliwataka wanawake kushikamana na kupeana ushirikiano katika safari hiyo. Naye Renee Ngamau Mtangazaji wa redio kipindi cha Capital in the Morning kutoka kampuni ya Capital Group Limited alitoa hongera kwa kukazabuti kwa washiriki wote waliomo katika kitabu kwamba wamefanyakazi moja muhimu ya kuonesha wanawake kwamba ujasiri na uthubutu ni kitu cha muhimu katika kuamua maisha yao binafsi. Alisema wanawake hao wameonesha kwamba kwa hali yoyote ile mwanamke akifanya maamuzi ya kuendelea mbele ataweza. Anasema wanawake ndio msingi mkubwa wa maendeleo kwa kuwa asilimia 90 ya pato lao hulirejesha katika familia kwa shughuli mbalimbali za kijamii. [caption id="attachment_2658" align="aligncenter" width="1404"] Mtangazaji wa redio kipindi cha Capital in the Morning kutoka kampuni ya Capital Group Limited, Renee Ngamau akitoa pongezi kwa washiriki waliomo katika kitabu cha “Women Creating Wealth” wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.[/caption] Akielezea siri ya mafanikio yake Devotha Minzi ambaye kwa sasa ana kampuni ya ushauri kuhusu namna ya kuingia katika ujasiriamali, alisema kwamba mambo ambayo yamekuwa yakimfikirisha sana ni kuhusu namna ya wahitaji wanavyoweza kupata fedha benki na wala si benki kutoa fedha. Minzi ambaye aliwahi kuajiriwa Benki Kuu aliacha kazi yake hiyo na kuingia katika kuwekeza katika taasisi ya fedha kabla ya kuachana nayo na kuanzisha kampuni ya ushauri. Akizungumza katika mkutano huo alisema kwamba wakati anaingia katika ujasiriamali alitambua kwamba kuna shida ya kujiweka sawa kuchukua fedha za Benki na hivyo kuona haja ya kuwapa elimu wanawake kuhusu Benki kuwapa fedha na si kunung’unika kwamba hawapewi fedha. [caption id="attachment_2659" align="aligncenter" width="1404"] Mwanauchumi Devotha Minzi akielezea siri ya mafanikio yake wakati wa uzinduzi wa kitabu cha “Women Creating Wealth” kilichoandaliwa na Taasisi ya Graca Machel uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] Alisema ni vyema wanawake kufanyakazi zao kwa akili zaidi na kuhakikisha kwamba wamejiandaa vyema katika kuhakikisha kwamba mahitaji yao yanatekelezeka kwa kutambua mambo ambayo ni muhimu katika uwekezaji na kuwa na nguvu. Anasema mpaka alipofika yeye amekumbana ana changamoto nyingi lakini la maana ni kuwa ana ratibu na anaangalia zaidi mahitaji na taratibu zake akiongeza kwamba kwa sasa amejikita kutoa ushauri wa kuwawezesha wanawake wenzake kukopesheka. [caption id="attachment_2660" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi na Mtaalamu wa masuala ya fedha na CEO wa Philips Tanzania, Monica Joseph wakifurahi jambo wakati wa uzinduzi huo.[/caption] Alisema ni vyema watu wakabadilika kifikra na kutengeneza utaratibu ambao utawafanya benki wawape hela bila hata kuombwa. Katika jukwaa hilo wanawake walipata nafasi pia ya kuhutubiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye aliwataka wanawake kusaidia serikali katika kuhakikisha uchumi unakua. [caption id="attachment_2661" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi na baadhi wanawake wenzake wajasiriamali wakitambulishwa kwenye uzinduzi huo.[/caption] [caption id="attachment_2662" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi wa Amorette Ltd. Mama Jacqueline Mengi na CEO wa Philips Tanzania, Monica Joseph katika uzinduzi huo.[/caption] [caption id="attachment_2663" align="aligncenter" width="1404"] Baadhi ya wanawake wajasiriamali kati ya 60 kutoka bara la Afrika ambao simulizi zaoza safari ya ujasiriamali zimo katika kitabu cha “Women Creating Wealth” kilichoandaliwa na Taasisi ya Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja akiwemo Mama Jacqueline Mengi.[/caption] [caption id="attachment_2664" align="aligncenter" width="1404"] Muasisi wa Taasisi ya Graca Machel, Graca Machel katika picha ya pamoja na wanawake wajasiriamali kati ya 60 waliondikwa kwenye kitabu cha “Women Creating Wealth” kilichoandaliwa na Taasisi ya Graca Machel.[/caption] [caption id="attachment_2665" align="aligncenter" width="1404"] Muasisi wa Taasisi ya Graca Machel, Graca Machel akiwapongeza wakinama hao mara baada ya picha ya pamoja.[/caption] [caption id="attachment_2672" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi wa kitabu hicho.[/caption] [caption id="attachment_2673" align="aligncenter" width="1404"] Muonekano wa nje wa Kitabu cha “Women Creating Wealth” ambacho kinasimulizi za wanawake wajasiriamali katika bara la Afrika, waliofanikiwa na safari yao katika ujasiriamali akiwemo Mama Jacqueline Mengi.[/caption] [caption id="attachment_2674" align="aligncenter" width="1404"] Ukurasa wa ndani ya kitabu cha “Women Creating Wealth” ambao umechapisha simulizi za safari ya ujasiriamali ya Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi.[/caption] [caption id="attachment_2666" align="aligncenter" width="1404"] Muasisi wa Taasisi ya Graca Machel, Graca Machel akisalimiana na kumpongeza Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi mara baada ya uzinduzi wa kitabu cha “Women Creating Wealth” uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2669" align="aligncenter" width="1404"] Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela (aliyeipa mgongo kamera) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Amorette Ltd, Jacqueline Mengi (wa tatu kushoto) Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu (wa pili kushoto), Mmiliki wa duka la ENJIPAI, Nasreen Kareem (kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha “Women Creating Wealth” uliofanyika jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2670" align="aligncenter" width="1404"] "Ha ha ha Wanawake tunaweza" Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela wakipongezana kwa furaha isiyo kifani na Mkurugenzi wa Amorette Ltd. Mama Jacqueline Mengi wakati wa uzinduzi huo.[/caption] [caption id="attachment_2676" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction Limited Bi. Maida Waziri Juma ambaye pia ni miongoni mwa wanawake 60 walitoa simulizi za kufanikiwa na safari yao katika ujasiriamali.[/caption] [caption id="attachment_2671" align="aligncenter" width="1404"] Muasisi wa Taasisi ya Graca Machel, Graca Machel katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyalandu mara baada ya uzinduzi wa kitabu hicho.[/caption] KAWAIDA Rais wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Getrude Mongela amesema wakati umefika kwa wanawake kuajiri na kufukuza. Alitoa kauli hiyo katika sherehe za Uzinduzi wa Jukwaa la Kuwaendeleza Wanawake Afrika (WAA) iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Jukwaa hilo linasimamiwa na Taasisi ya Graca Machel. Mama Mongela alikuwa akijibu maswali ya waandishi kuhusiana na hisia zake baada ya uzinduzi na majadiliano ya Kitabu “Women Creating Wealth” ambazo ni simulizi la wanawake wajasiriamali katika bara la Afrika, waliofanikiwa na safari yao katika ujasiriamali. Alisema ingawa wakati wa Mwalimu Nyerere juhudi zilifanyika kuwawezesha wanawake, kundi hilo lilibaki kufanyakazi za kufungasha au kushona, lakini kizazi cha sasa kimeendelea kiasi ya kwamba kina uwezo wa kufanya uwekezaji na kuwa waajiri.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: WAKATI UMEFIKA WANAWAKE KUAJIRI NA KUFUKUZA-MONGELA
WAKATI UMEFIKA WANAWAKE KUAJIRI NA KUFUKUZA-MONGELA
http://www.thebeauty.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/J80A6521.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2017/08/wakati-umefika-wanawake-kuajiri-na.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2017/08/wakati-umefika-wanawake-kuajiri-na.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy