VIONGOZI WA DINI WASIKATISHE TAMAA WAUMINI KUKABILI UKIMWI- DK. MABOKO

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya kidini wameombwa kusaidia kuondoa unyanyapaa wa wagonjwa wa Ukimwi ikiwa ni sehemu kamili ya kukabiliana...

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya kidini wameombwa kusaidia kuondoa unyanyapaa wa wagonjwa wa Ukimwi ikiwa ni sehemu kamili ya kukabiliana na janga hilo nchini. Aidha wametakiwa kutumia program mbalimbali walizonazo katika mahubiri na kazi zao kuhakikisha kwamba taifa haliwi na maambukizi mapya ya Ukimwi na wale waliokuwa nao wanathaminika. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo. Alisema wakati taifa linapata maambukizi mapya 81,000 kwa mwaka, si sahihi kwa viongozi hao wa kidini kuupambanisha ugonjwa huo na mshahara wa dhambi. [caption id="attachment_3453" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza wakati akifungua mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.(Picha zote na The Beautytz)[/caption] Alisema pamoja na ukweli kuwa mshahara wa dhambi ni mauti, lakini ni kweli pia kwamba wapo ambao wanapata ugonjwa huo bila wao kufanya chochote kile. “Mke yupo nyumbani, mme anachepuka na kuleta ukimwi nyumbani kwa mama… kama tukisema Ukimwi ni dhambi, huyo mama ana dhambi yake nini? Na mtoto aliyezaliwa na Ukimwi, tatizo la mtoto nini?” aliuliza Mkurugenzi akisisitiza haja ya kuondokana na unyanyapaa na kusaidia kwa pamoja kukabiliana na janga hilo. Unapotoa hotuba na kusema kwamba utakufa na Ukimwi wako, haitoi tumaini kwa mgonjwa na wewe unaweza kuwa sababu ya yeye kuamua kuambukiza watu zaidi alisema Mkurugenzi huyo. [caption id="attachment_3454" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.[/caption] “madhehebu yana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko katika shughuli za Ukimwi” anasema Mkurugenzi na kuongeza kuwa yuko katika mapambano na Ukimwi kwa miaka 22 na ana kila sababu ya kusema kwamba madhehebu ya dini yana mchango mkubwa katika kampeni dhidi ya Ukimwi. Anasema akiwa mchungaji (alitolewa katika kazi hiyo) anaamini ipo haja ya kuwapo na mabadiliko ikiwa mapambano hayo yanatakiwa yafanikiwe. [caption id="attachment_3463" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa UNESCO katika mkutano huo, Herman Mathias ambaye pia ni Mratibu wa Ukimwi Unesco akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo uliofadhiliwa na UNESCO.[/caption] Katika mkutano huo ambao umefadhiliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) alisema kwa muda sasa imekuwa ukisimama na kutaja Ukimwi unaonekana kama umetaja dhambi hali ambayo inaongeza unyanyapaa na pia kuwafanya watu wasiwe wa wazi na afya zao. Aidha alisema kwamba kwa sasa kuna tatizo la wanaume wengi kutopima afya zao na hata wakipima hawafuati maelekezo na wanakuwa wa kwanza kufa kutokana na kushindwa kutumia dawa inavyotakiwa. [caption id="attachment_3455" align="aligncenter" width="1404"] Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mwitikio wa Kitaifa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Audrey Njelekela akizungumza kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika kuleta mabadiliko ya mapambano dhidi ya Ukimwi kwenye mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Alisema kwamba kuwa na nusu ya Watanzania wanaoabudu Mungu kunatoa takwimu zisizo rasmi kwamba watu wengi wanasikiliza mafundisho hivyo wakati umefika kwa wahubiri na viongozi wengine wa dini kutumia madhehebu kufunza maadili na kuepusha maambukizi mapya. Alisema dini zipo kwa ajili ya kuwanusuru wanadamu na dhambi na kwa kuwa imeelezwa hata katika kitabu, kwamba mgonjwa hufuata tabibu, kuendelea kuwasema wenye ugonjwa huo haitasaidia kurekebisha hali bali kuifanya iwe ngumu zaidi. Pamoja na kutaka viongozi hao kupanga namna ya kuwatia moyo waumini wao kutambua hali zao na kuwasaidia katika kutumia dawa kwa ukamilifu, Mkurugenzi huyo alisema hali ya Ukimwi nchini Tanzania kwa sasa ni asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.1 miaka minne iliyopita. [caption id="attachment_3456" align="aligncenter" width="1404"] Mratibu wa shughuli za watoto na vijana TACAIDS, Grace Kessy akieleza kuhusu kutekeleza maazimio ya ESA ya mwaka 2013 ambapo nchi zinahamasishwa kutoa elimu kubwa kwa vijana wao kuhusu afya ya uzazi wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Aidha alisema kwamba pamoja na virusi kuonekana kufubazwa kwa asilimia 52 mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya hali ya maambukizi bado ipo juu huku mikoa ya Mtwara, Lindi na Arusha ikiwa chini. Alisema pamoja na kuonekana kwamba kiwango cha maambukizi kimeshuka mtu anaweza kujiuliza sababu zake kama mipango ya kukabiliana na Ukimwi inapata mafanikio au watu wengine zaidi walioambukizwa wamefariki dunia. [caption id="attachment_3457" align="aligncenter" width="1404"] Mshiriki kutoka BAKWATA, Asina Shenduli akitoa maoni wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Naye Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mwitikio wa Kitaifa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Audrey Njelekela, alisema katika mkutano huo viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini wanatarajiwa kutoka na mpango mkakati utakaohusisha mipango ya na taifa katika kampani ya kukabili Ukimwi. Alisema katika mkutano huo wa siku mbili, viongozi hao pamoja na kubadilishana uzoefu watapata nafasi ya kujifunza umuhimu wa kuratibu mapambano hayo ili kutumia vyema rasilimali watu na fedha zilizopo, Alisema pamoja na kuwepo kwa vikwazo katika shughuli za uratibu ikiwamo kukosekana kwa mtengamano na ukosefu rasilimali fedha, kuna faida kubwa ya kufanya uratibu kwa ajili ya kuwa na taarifa za uhakika na kutorudia kazi. [caption id="attachment_3458" align="aligncenter" width="1404"] Askofu Msaidizi wa AICT, Charles Sanagu (kushoto) akiuliza swali na kuwasilisha maoni katika mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Alisema Tume ya kudhibiti Ukimwi ambayo ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, kwa kuita viongozi hao wa dini imelenga kufanya mapambano ya kukabili Ukimwi kuwa endelevu na yenye wigo mpana. Alisema katika mkutano huo pia walielezana kila kundi lipo wapi linafanya nini na kuimarisha uratibu dhidi ya ugonjwa huo. Naye Mwakilishi wa UNESCO katika mkutano huo, Herman Mathias ambaye pia ni Mratibu wa Ukimwi Unesco alisema kwamba mkutano huo pia una lengo la kutekeleza maazimio ya ESA ya mwaka 2013 ambapo nchi zinahamasishwa kutoa elimu kubwa kwa vijana wao kuhusu afya ya uzazi. [caption id="attachment_3459" align="aligncenter" width="1404"] Pichani juu na chini ni sehemu ya washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Aidha mkutano utaangalia maelekezo kuhusu 2020 vijana kufikiwa na huduma rafiki za afya ya uzazi, kupunguza ndoa za utotoni, unyanyasaji kijinsia na ukeketaji. Alisema watu wa dini wana mchango mkubwa ndio maana Unesco kwa kushirikiana na Tume ya Ukimwi wameandaa mkutano huo ili kubadilisha mawazo na uzoefu. [caption id="attachment_3461" align="aligncenter" width="1404"] Ofisa mipango ya Elimu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Jennifer Kotta (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.[/caption] [caption id="attachment_3462" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya kidini wameombwa kusaidia kuondoa unyanyapaa wa wagonjwa wa Ukimwi ikiwa ni sehemu kamili ya kukabiliana na janga hilo nchini. Aidha wametakiwa kutumia program mbalimbali walizonazo katika mahubiri na kazi zao kuhakikisha kwamba taifa haliwi na maambukizi mapya ya Ukimwi na wale waliokuwa nao wanathaminika. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo. Alisema wakati taifa linapata maambukizi mapya 81,000 kwa mwaka, si sahihi kwa viongozi hao wa kidini kuupambanisha ugonjwa huo na mshahara wa dhambi. [caption id="attachment_3453" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza wakati akifungua mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.(Picha zote na The Beautytz)[/caption] Alisema pamoja na ukweli kuwa mshahara wa dhambi ni mauti, lakini ni kweli pia kwamba wapo ambao wanapata ugonjwa huo bila wao kufanya chochote kile. “Mke yupo nyumbani, mme anachepuka na kuleta ukimwi nyumbani kwa mama… kama tukisema Ukimwi ni dhambi, huyo mama ana dhambi yake nini? Na mtoto aliyezaliwa na Ukimwi, tatizo la mtoto nini?” aliuliza Mkurugenzi akisisitiza haja ya kuondokana na unyanyapaa na kusaidia kwa pamoja kukabiliana na janga hilo. Unapotoa hotuba na kusema kwamba utakufa na Ukimwi wako, haitoi tumaini kwa mgonjwa na wewe unaweza kuwa sababu ya yeye kuamua kuambukiza watu zaidi alisema Mkurugenzi huyo. [caption id="attachment_3454" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akizungumza na washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.[/caption] “madhehebu yana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko katika shughuli za Ukimwi” anasema Mkurugenzi na kuongeza kuwa yuko katika mapambano na Ukimwi kwa miaka 22 na ana kila sababu ya kusema kwamba madhehebu ya dini yana mchango mkubwa katika kampeni dhidi ya Ukimwi. Anasema akiwa mchungaji (alitolewa katika kazi hiyo) anaamini ipo haja ya kuwapo na mabadiliko ikiwa mapambano hayo yanatakiwa yafanikiwe. [caption id="attachment_3463" align="aligncenter" width="1404"] Mwakilishi wa UNESCO katika mkutano huo, Herman Mathias ambaye pia ni Mratibu wa Ukimwi Unesco akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo uliofadhiliwa na UNESCO.[/caption] Katika mkutano huo ambao umefadhiliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) alisema kwa muda sasa imekuwa ukisimama na kutaja Ukimwi unaonekana kama umetaja dhambi hali ambayo inaongeza unyanyapaa na pia kuwafanya watu wasiwe wa wazi na afya zao. Aidha alisema kwamba kwa sasa kuna tatizo la wanaume wengi kutopima afya zao na hata wakipima hawafuati maelekezo na wanakuwa wa kwanza kufa kutokana na kushindwa kutumia dawa inavyotakiwa. [caption id="attachment_3455" align="aligncenter" width="1404"] Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mwitikio wa Kitaifa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Audrey Njelekela akizungumza kuhusu nafasi ya viongozi wa dini katika kuleta mabadiliko ya mapambano dhidi ya Ukimwi kwenye mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Alisema kwamba kuwa na nusu ya Watanzania wanaoabudu Mungu kunatoa takwimu zisizo rasmi kwamba watu wengi wanasikiliza mafundisho hivyo wakati umefika kwa wahubiri na viongozi wengine wa dini kutumia madhehebu kufunza maadili na kuepusha maambukizi mapya. Alisema dini zipo kwa ajili ya kuwanusuru wanadamu na dhambi na kwa kuwa imeelezwa hata katika kitabu, kwamba mgonjwa hufuata tabibu, kuendelea kuwasema wenye ugonjwa huo haitasaidia kurekebisha hali bali kuifanya iwe ngumu zaidi. Pamoja na kutaka viongozi hao kupanga namna ya kuwatia moyo waumini wao kutambua hali zao na kuwasaidia katika kutumia dawa kwa ukamilifu, Mkurugenzi huyo alisema hali ya Ukimwi nchini Tanzania kwa sasa ni asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.1 miaka minne iliyopita. [caption id="attachment_3456" align="aligncenter" width="1404"] Mratibu wa shughuli za watoto na vijana TACAIDS, Grace Kessy akieleza kuhusu kutekeleza maazimio ya ESA ya mwaka 2013 ambapo nchi zinahamasishwa kutoa elimu kubwa kwa vijana wao kuhusu afya ya uzazi wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Aidha alisema kwamba pamoja na virusi kuonekana kufubazwa kwa asilimia 52 mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya hali ya maambukizi bado ipo juu huku mikoa ya Mtwara, Lindi na Arusha ikiwa chini. Alisema pamoja na kuonekana kwamba kiwango cha maambukizi kimeshuka mtu anaweza kujiuliza sababu zake kama mipango ya kukabiliana na Ukimwi inapata mafanikio au watu wengine zaidi walioambukizwa wamefariki dunia. [caption id="attachment_3457" align="aligncenter" width="1404"] Mshiriki kutoka BAKWATA, Asina Shenduli akitoa maoni wakati wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Naye Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mwitikio wa Kitaifa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Audrey Njelekela, alisema katika mkutano huo viongozi wa madhehebu mbalimbali nchini wanatarajiwa kutoka na mpango mkakati utakaohusisha mipango ya na taifa katika kampani ya kukabili Ukimwi. Alisema katika mkutano huo wa siku mbili, viongozi hao pamoja na kubadilishana uzoefu watapata nafasi ya kujifunza umuhimu wa kuratibu mapambano hayo ili kutumia vyema rasilimali watu na fedha zilizopo, Alisema pamoja na kuwepo kwa vikwazo katika shughuli za uratibu ikiwamo kukosekana kwa mtengamano na ukosefu rasilimali fedha, kuna faida kubwa ya kufanya uratibu kwa ajili ya kuwa na taarifa za uhakika na kutorudia kazi. [caption id="attachment_3458" align="aligncenter" width="1404"] Askofu Msaidizi wa AICT, Charles Sanagu (kushoto) akiuliza swali na kuwasilisha maoni katika mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Alisema Tume ya kudhibiti Ukimwi ambayo ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, kwa kuita viongozi hao wa dini imelenga kufanya mapambano ya kukabili Ukimwi kuwa endelevu na yenye wigo mpana. Alisema katika mkutano huo pia walielezana kila kundi lipo wapi linafanya nini na kuimarisha uratibu dhidi ya ugonjwa huo. Naye Mwakilishi wa UNESCO katika mkutano huo, Herman Mathias ambaye pia ni Mratibu wa Ukimwi Unesco alisema kwamba mkutano huo pia una lengo la kutekeleza maazimio ya ESA ya mwaka 2013 ambapo nchi zinahamasishwa kutoa elimu kubwa kwa vijana wao kuhusu afya ya uzazi. [caption id="attachment_3459" align="aligncenter" width="1404"] Pichani juu na chini ni sehemu ya washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption] Aidha mkutano utaangalia maelekezo kuhusu 2020 vijana kufikiwa na huduma rafiki za afya ya uzazi, kupunguza ndoa za utotoni, unyanyasaji kijinsia na ukeketaji. Alisema watu wa dini wana mchango mkubwa ndio maana Unesco kwa kushirikiana na Tume ya Ukimwi wameandaa mkutano huo ili kubadilisha mawazo na uzoefu. [caption id="attachment_3461" align="aligncenter" width="1404"] Ofisa mipango ya Elimu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Jennifer Kotta (wa kwanza kushoto) akiwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo.[/caption] [caption id="attachment_3462" align="aligncenter" width="1404"] Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kuimarisha uratibu wa Afua za Ukimwi katika Taasisi za Kidini uliofanyika Chuo cha Maendeleo na Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo kwa ufadhili wa UNESCO.[/caption]

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4811,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: VIONGOZI WA DINI WASIKATISHE TAMAA WAUMINI KUKABILI UKIMWI- DK. MABOKO
VIONGOZI WA DINI WASIKATISHE TAMAA WAUMINI KUKABILI UKIMWI- DK. MABOKO
http://www.thebeauty.co.tz/wp-content/uploads/2017/12/JP5A5842.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2017/12/viongozi-wa-dini-wasikatishe-tamaa.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2017/12/viongozi-wa-dini-wasikatishe-tamaa.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy