Taharuki kubwa imezuka baada ya mkulima mmoja kuleta nyanya yenye uso wa biadamu katika soko la  mile 12 mjini Lagos.
Imeelezwa kuwa wananchi wengi walipata na mfadhaiko wakigoma kuishikja kutokana na jinsi ilivyokuwa inaonekana.
Watru walioshuhudia mkasa huo wamesema kwamba nyanya hiyo ilikuwa inaonekana nusu binadamu na nusu nyani.
Wengi walikuwa wanajiuliza imetokeaje lakini watu wengine walisema kama binadamu anaweza kubadilisha jinsi basi hata mimea inaweza.
Moja ya kituko ambacho hakikuthibitishwa zinasema kwamba mtu ambaye alikuwa na shughuli za kukamua nyanya, alishindwa kufanya hivyo baada ya nyanya hiyo kuzungumza kutaka imwache.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO