Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi  ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa  Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO