Ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ikipigiwa saluti ya maji baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, na kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Aprili 2, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt.  Alex Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti wa Tanzania society of Travel Agents (TASOTA) Bw. Mustafa Khataw  baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka  huku akishuhudiwa na marubani mara baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga  baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018  

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO