Mrembo anayepamba video za wanamuziki wa Bongo Flava nchini, Agness Gerald ‘Masogange’ ambaye alifariki juzi unatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni.
Kwa mujibu wa mmoja wa wajumbe wa kamati ya mazishi upande wa wasanii, Steven Mengele 'Nyerere' alisema kuwa baada ya kutoa heshima za mwisho mwili huo utasafirishwa kwao Mbeya tayari kwa kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO