kitabu kiichojaa mafundisho kwa njia ya ufirauni DAR ES SALAAM usiku ni kitabu kilicotungwa namoja ya watunzi mahiri Ben Mtobwa. Ni kitabua ...
kitabu kiichojaa mafundisho kwa njia ya ufirauni
DAR ES SALAAM usiku ni kitabu kilicotungwa namoja ya watunzi
mahiri Ben Mtobwa. Ni kitabua mabcho kinapembua maisha ya watu
kwa namna ambayio unaweza usiipende kabisa, inawachambua hawa
binadamu na kwuaweka watupu kila mara.
Ni simulizi la mwanadada yatima ambaye alikimbia mume wake mzee
akaishia baa akaolewa na baadaye kuamua kuondoka wka mume wake
kutokana na matusi ambayo alikuwa akimwagia baada ya kuamua
kumsitiri kutokana na kukosekana kwa mtoto katika familia hiyo.
Nia ya kumsitiri ilisababisha binti huyu nuru kulala na
mtumishi wa nyumba ile wakapata mtoto wa kwanza na mtoto wa
pili alipokuwa karibu habari zikavuja na mama akaondoka bila
kutwangwa talaka alichukizwa a kusemwa.
Ni dhahiri kuwa hadithi hii ambayo washiriki wake niw atoto wa
mitaani , malaya na watu ambao wameamua kufanya njia ya mkato
unaweza kuipa jina lake ingawa mwenyewe amesema ni dar es
salaam usiku.
Tayari kitabu hiki kiimeshafanyiwa matoleo manne na kikiwa na
kurasa za kutosha ni hadithi iayotakiwa kusomwa kwa tuo na watu
wazima.
Lugfha iliyotumika ni kali kidogo ingawa sehemu nyingine
imefinyangwa katika sanaa inayotambuliwa na wakubwa lakini hata
hivyo bado lugha yake ni ya ashiki sana.
Ben ambaye ametumia mtindo wa kwenda mbele a kurudi nyuma
akuionyesha tofauti ya wazi kwa kutumia staili za maandiko kwa
kuyalaza, amefanya hadithi hii kuwa tamu zaidi kwa kuweka tu si
ubinadamu peke yake bali nafujo za ubinadamu.
Fujo hizo zipo katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, fedha
na umaskini na watoto wa watu na wale ambao ni wa jalalani.kama
umeshawhai kusoma kitabu kama cha Watoto wa mama ntilie
hutasita kuona utamu katika sehemu ya watoto wa majalalani
ambaow aliwakishwa na Hasara au dunia na Hasira aliyetaka
kujiondoa katika dhiki hiyo kwa namna yoyote ile na Petersson
ambaye aliwakilisha watoto wa watuw enye kitu kidogo.
Aidha alisimulia adha ya kutupwa kwa binti ambaye alilazimika
kujua wanaume akkiwa mdogo na shida ya nyumba moja mtoto na
mama na mama kazi yake ni kusaka maisha kwa namna ambayo si
alali hata kidogo.
Ben akitumia lugha ya chumbani na vijiweni pia nadhani
amefanikiwa kuwachambua binadamu katika ule ukweli wa utupu
wake akichachafya pia vyombo vya sheria na jamii kwa namna yake
huku akimfanya mwanamke kuonekana wazi kabisa kama chombo cha
starehe lakini akiwa na uwezo mkubwa wakumliza mwanamme kama
akiamua, Rukia alikuwa dnio alama ya wanawake wa aina hiyo.
lakini pia ilionyeshwa udhaifu wa wanaume wakishindwa kuwafunda
wake zao na kukimbilia penzi la makahaba ambao walikuwa wanajua
kuenzi katika maisha ya chumbani na pia ndani.
ubora wa roho za wtau unakuta katika maisha ya hasra ambaye kwa
namna nyingine bila kujua aliweza kuhifadhi maisha ya kaka yake
Rukia (pterson)ambaye pia alikuwa hawara yake biloa kujua
kwamba walichangia si tu baba bali na mama pia.
Ni kitabu mkosi kabisa lakini kina mafundisho ya kina juu ya
sababu zinazofanya jamii wakati wmingine kukosa nidhamu na
busara ya maisha.
Ule utupu ulionyeshwa ndio utupu alionao binadamu kiasi cha
kuleta adha katika maisha yake mwenyewe na wale wanaodhaminiw
anao. kama si ushungi wa jumla basi kitabu hiki ama hakika
kinafaa kabisa kukaa katika maktaba yako kikifunda kuwa
mwangalifu a maisha yako na wengine kwa kuhakikisha huwakosei.
mwisho
Mtoaji:Ben Publishers
Mtunzi:Ben MtobwaMpitiaji :Beda msimbe

COMMENTS