Naam kunaonekana kama kunapambazuka, lakini si kweli kwa wale ambao tumejifunz amaisha ya Wagiriki pale Ugiriki, maisha ya akina Plato, Aris...
Naam kunaonekana kama kunapambazuka, lakini si kweli kwa wale ambao tumejifunz amaisha ya Wagiriki pale Ugiriki, maisha ya akina Plato, Aristotle na akina nani wale ahh nimemkumbuka Scorates.
Hakujapambazuka kutokana na ukweli kuwa wale wanaodhani kunapambazuka ni bado wako katika pango wakikimbia vivuri vyao wenyewe.
Hakuja pambazuka kwa sababu hata wale waliotoka nje wakaona ukweli wanajikuta wanaganda manake hata hawajui wanaota au wanaona vyema nje kumepambazuka.
Naam, pangu pakavu tia mchuzi ni msemo wa kawaida kabisa wa watu maskini wakiashiria maisha magumu lakini wale ambao wanajua kwamba kuna mwanga mwisho wa tanuri wanajua nini maana halisi ya pangu pakavu.
Watanzania kama mwaka 1994 wakati mheshimiwa wa siku saba alipojimegua, presha ilipanda mno kisha ikashuka flati ha ha ha ha Nakumbuka nilimwambia rafiki yangu katika mkutano wa pale sokoni Morogoro kwamba usitupe fedha zako akasema :
Mimi najua... wewe CCM.. huwezi kunishauri kitu mimi.. nchi hii mwaka huu ni yetu na mimi naibu waziri wa fedha... nikasema he mheshimiwa ameshpanga hata baraza lake.
Nikamwambia tena, shehe kumbe baraza limeshapangwa? lakini nakuambia kaka bado mapema sana, wacha kuharibu fedha za watoto katika kampeni hii.
Ninachotaka kusema mwaka jana nikutana naye ndugu yangu huyo wa Old moshi amechakaa si masikhara na pale penye maduka yake niliyoyaona siwaambii wapi yote sasa yana watu wengine kabisa. Wapo waarabu ambao nadhani ni wapemba na mwenyewe amechoka ile mbaya kwa maneno ya watu wa mjini amefulia.
Naam wajanja wanaojua sihasa hutulia kimya wakijua kwamba sihasa ni mchezo mmoja wenye rafu za makusudi, za kuvizia refa akiwa upande mwingine na zile za akili ambazo zinaonekana kama ni bahati mbaya.
Wapo wanaosema ohh CCJ ni talk of town, yes ni talk of the town lakini je watu wanasahau ya Mrema 1994 wakati tulipomsukuma katika gari na kuapa kwamba tunafanya yaliyomema?
Basi mimi wala sina la kusema kuhusiana na hili hasa ninapooona kwamba wanaojiita vigogo walikuwa mzigo walikotoka si kwa sababu ya rushwa na ufisadi bali ukweli unaouma kwamba wameshindwa kudeliva.
Naam ameshindwa kudeliva kwa sababu mbili au tatu hivi.
Wanakotoka kuna mfumo wa kupambana wameukimbia.
Wanakotoka kuna mfumo wa kusutana mpaka kifo,wameukimbia.Wanaokotoka kuna kutoa maelezo yenye uhakika na wao hawawezi wameukimbia.
Imechomolewa kutoka Changamoto
Anayetaka kuelewa ataelewa

COMMENTS