FAST JET WAANZA SAFARI ZA NAIROBI KUTOKEA DAR NA KILI
HomeHabari

FAST JET WAANZA SAFARI ZA NAIROBI KUTOKEA DAR NA KILI

Kampuni ya ndege yenye gharama nafuu fastjet,imepanua mtandao wake  wa safari barani Afrika kwa kuwa na safari za kimataifa za kila si...

MAGARI MANNE YAGONGANA BARABARA YA NYERERE ENEO LA MTAVA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUMJERUHI DEREVA TEKSI
RAIS HAJATANGAZA KUFUTWA KWA VYAMA VYA UPINZANI- MAJALIWA
Tshisekedi, afariki dunia akikaguliwa afya


Kampuni ya ndege yenye gharama nafuu fastjet,imepanua mtandao wake  wa safari barani Afrika kwa kuwa na safari za kimataifa za kila siku  kutoka Dar es Salaam na Kilimanjaro kwenda Nairobi na hali kadhalika  safari za ndani  za kila siku kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar.
Uzinduzi wa safari za anga za fastjet  kutoka Dar es Salaam hadi Nairobi, Kilimanjaro hadi Nairobi na Dar e s Salaam kwenda Zanzibar zote zimefanyika Januari 11, 2016 na hivyo kufanya iwe ni hatua muhimu katika kujipanua katika safari zake kimataifa na kitaifa.
Safari za kila siku kwenda Zanzibar  zinatarajiwa kuwarahisishia watanzania walio wengi pamoja na wageni wa kimataifa kuitembelea Zanzibar,kukuza utalii na biashara  pamoja na kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye kukua kwa uchumi visiwani humo.
 Kuzinduliwa kwa safari za fastjet kwenda Nairobi kutoka Dar es Salaam kunaanzisha enzi mpya  ya abiria ambao wamekuwa wakitaabika kwa tozo kubwa ya nauli kwa usafiri wa anga  kati ya nchi mbili za Afrika Mashariki  ambazo uchumi wake unakua kwa kasi.


Matokeo ya safari za fastjet nchini Kenya tayari yameshaanza kujadiliwa, yakikolezwa na ukweli kwamba nauli dhidi ya mashirika washindani  yanayofanya safari kati ya nchi hizi mbili ambako ni kushuka kwa kasi hadi ya asilimia 40  siku ya kwanza tu tangu fastjet
ilipotangaza  kuanzishwakwa safari zake  kati ya Kenya  na Tanzania.
Meneja Mkuu wa fastjet Tanzania John Corse anasema, “ukweli ni kwamba ushindani ni mzuri kwa abiria. Unaleta nafasi kuchagua jinsi ya kusafiri na pia unasababisha nauli kushuka.”
Nauli za fastjet kimsingi ziko chini  kuliko nauli zinazotozwa na mashirika mengineya ndege  ambayo hivi sasa yanafanya safari kati ya Tanzania na Kenya ambapo nauli za fastjet kutoka
Kilimanjaro/Nairobi ni kuanzia dola 50 kw safari  moja na ya kwenda Dar es Salaam/Nairobi
ni dola 80 kwa safari moja. Nauli hizo hazijumuishi kodi za serikali ambazo ni dola
49kwa kuondokea Tanzania na dola 40 kwa kuondokea Kenya na hivyo  fastjet
kuwashauri abiria  kukata tiketi zao mapema  ili kuitumia fursa hiyo ya nauli ya bei
nafuu. fastjet inatarajia kuongeza safari moja zaidi kwenye niia yake mpya ya Kenya
 kutokan ana mahitaji ya wateja kuongezeka kutokana na kumudu, usalama, kasi na huduma kwa wakati na tayari imeshaonesha kwamba inatarajia kuzindua safari kati ya
Zanzibar na Nairobi na hali kadhalika kati ya Dar es Salaam na Mombasa baadaye mwaka huu 2016.
“Kama ambavyo imekuwa kwa njia zetu nyingine ambazo fastjen timezindua tunatarajia  abiria wetu walio wengi kwenye njia yetu mpya Kenya kuwa abiria wa kwanza  ambao huenda  wasingemudu kusafiri kwa  njia ya anga hapo awali,” anabainisha Corse.
 Matarajio haya yanaungwa mkono na utafiti  uliofanywa na fastjet ambao unaonesha
Kuwa zaidi ya theluthi moja ya abiria watakuwa wanasafiri kwa ndege kwa mara ya kwanza na hali kadhalika kumudu usafiri huo kwa mara ya kwanza.
 “Usafiri wa anga ambao abiria wanaumudu  ni msingi wa kukua kwa uchumi  barani Afrika kutokana na matokeo chanya yanayosababishwa na bei nafuu ya usafiri wa ndege kwa maisha ya wananchi na uchumi kwa jumla,”alisema Corse.
“Tunazishukuru wizara za usafirishaji na mamlaka za usafiri wa anga za Tanzania na Kenya  kwa kufanya kazi pamoja  kuwezesha fastjet kutambua dira yetu ya kuongezeka kwa idadi ya wateja  ambao wanaweza kufikia usafiri wa anga wanaoumudu,” alihitimisha Corse.
 Jambo ambalo lina umuhimu zaidi kwenye njia hii mpya ni njia mbadala ya kuibeba mizigo inayojulikana kama “freighty” ambayo inaruhusu abiria  kusafiri na mzigo  hadi kilo 80 kwenye mabegi kwa dola 80. Mbadala huu wa mzigo kimsingi unatarajiwa kuwa maarufu kwa wafanya biashara wanaosafiri na fastjet kununua bidhaa za jumla na kuzisafirisha kwa ajili ya kuuzakwenye masoko ya ndani.  Ukataji tiketi unaweza kufanyika  kupitia mtandao wa www.fastjet.com, kupitia wakala waliothibitishwa na fastjet au kwa njia ya mawasiliano ya simu: +255-784-108900.  Malipo ya tiketi yanaweza kufanyika kwa fedha taslim, kwa njia ya mtandao au kupitia malipo kwa njia ya simu

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,313,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,246,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,Habari,5009,habari dodoma,20,habari. dodoma,31,habaria,1,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,513,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,351,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,2,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,2,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: FAST JET WAANZA SAFARI ZA NAIROBI KUTOKEA DAR NA KILI
FAST JET WAANZA SAFARI ZA NAIROBI KUTOKEA DAR NA KILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZwgfqjbLGPDqreu7ebn2ds5jb56XDSBKy6t5S8Sj9rfs1hY__JpFJdO0lpxVNFG4qUSd56hdQ5A3EtZMU6b4mOORODXX0ZooRgmuhN7zq-n5ruS6iHMdsULGQwX_vNIHYDMULmSxQeFA/s320/mpu5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhZwgfqjbLGPDqreu7ebn2ds5jb56XDSBKy6t5S8Sj9rfs1hY__JpFJdO0lpxVNFG4qUSd56hdQ5A3EtZMU6b4mOORODXX0ZooRgmuhN7zq-n5ruS6iHMdsULGQwX_vNIHYDMULmSxQeFA/s72-c/mpu5.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2016/01/fast-jet-waanza-safari-za-nairobi.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/01/fast-jet-waanza-safari-za-nairobi.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy