KUTOKUCHEZA SOKA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KUMENIKOSESHA NAMBA KLABU YA CHELSEA

KUTOKUCHEZA SOKA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KUMENIKOSESHA NAMBA CHELSEA. KAMA ningeweza kukutana Rais wa Shirikisho...

KUTOKUCHEZA SOKA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KUMENIKOSESHA NAMBA CHELSEA.

KAMA ningeweza kukutana Rais wa Shirikisho la Soka nchini ningemshauri namna bora ya kuanzisha vituo vya kukuza wachezaji chipukizi mikoa mbalimbali hapa nchini kwani hiyo ndio itakuwa njia sahihi ya kuinua soka la Tanzania ili kutoa fursa kwa wachezaji wa kitanzania kuweza kuchezea timu kubwa duniani
Kwa sababu hakuna mamna ya kuweza kufanya ili tuweze kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya mpira kwani bila kufanya hivyo kila siku tutakuwa tunapoteza muda ambao una thamani kubwa kama ungeweza kutumiwa vizuri.
Hayo sio maneno yangu bali ni ya  mlinda mlango wa kitanzania aliyewahi kufanya majaribio kwenye klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza Abbas Pira “Barthez”wakati akizungumza na mwandishi wa makala hii ambapo anasema kwenye mafanikio ya soka hakuna njia za mkato lazima kuwepo kwa dhamira ya dhati ya kupewa msukumo jambo hilo.
Abas Pira ambaye aliwahi pia kuichezea timu ya Coastal Union miaka ya nyuma ilipokuwa ikishiriki Ligi Daraja la kwanza anasema ili Tanzania waweze kupata mafanikio lazima kuanza na vituo vya kukuza soka kama ilivyokuwa nchi nyengine duniani kwani hiyo ndio itakuwa dira na mabadiliko yatakayokuwa chachu ya kufikia ndoto za kuchukua kombe la dunia siku moja.
Anasema umuhimu wa vituo hivyo ndio utakuwa dira ya kulipeleka soka la Tanzania kwenye hatua kubwa kwa sababu wataweza kupata wachezaji wengi wazuri ambao wanaweza kuwa hazina kubwa kwa Taifa kwa kuzitumikia timu za Taifa kuliko ilivyokuwa sasa.
  “Unajua hata ukiangalia kwenye nchi za nje zinapata mafanikio makubwa kwenye soka kwa sababu ya kuwekeza kupitia timu za vijana na kufungua vituo vya soka hivyo jambo hilo kama likitiliwa mkazo hapa kwetu tutafika mbali “Anasema.
Aidha alisema ukiangalia kwa Tanzania vituo vingi vya kukuzia soka limejengwa kwenye baadhi ya mikoa michache na kuiacha mikoa yenye wachezaji wenye uwezo na vipaji kushindwa kupata fursa hiyo adhimu kwa ajili ya maendeleo yao.
Sambamba hilo lakini pia analitaka shirikisho hilo kuweka utaratibu mzuri wa kuunda kamati ya mawakala ambao watakuwa na kazi ya kuwachagua wachezaji ambao wanaweza kuwapeleka kwenye kucheza soka la kulipwa nje ya nchi ikiwemo kuweka ufuatiliaji.
  “Unajua suala la kuundwa kamati ya mawakala ambao kila mwaka wanaweza kuwa na orodha ya wachezaji wangapi wamekwenda kufanya majaribio nje ya nchi na nafasi zao zipoje kwenye nchi ambazo wamekwenda kucheza “Anasema.
Pirra ni nani na alitokea wapi kabla ya kwenda Chelsea kwenye majaribio?
Abasi Pira anaanza kusema alianza kucheza mpira katika timu ya Mzambarauni mwaka 1994 iliyokuwa na maskani yake jijini Tanga baada ya hapo alionekana na Kocha Joseph Lazaro ambaye kwa sasa anaifundisha timu ya Mgambo Shooting  na kumpeleka timu ya Coastal Union ambapo alicheza mechi za timu hiyo wakiwemo Juma Mgunda,Mohamed Kampira,Saidi Mhando,Nyendi Mpangala ,Mwarami Saidi Deo Masanja na Sande Peter.

Hao ndio baadhi ya wachezaji ambao ninawakumbuka tulikuwa pamoja wakati nikicheza kwenye timu ya Coastal Union ambapo nilidumu kwenye timu hiyo mpaka mwaka 2005 wakati timu hiyo ilipokuwa ikishiriki Ligi daraja la kwanza.

Mlinda mlango huyo ambaye alisoma kwenye shule ya sekondari Popatlaly iliyopo Jijini Tanga kuanzia mwaka 2002 mpaka 2005 alianza kung’ara kwenye medani ya soka hapa nchinio baada ya kuwa mchezaji bora kwenye mashindano ya Umisseta.

Nini kilimpeleka nchini Uingereza?

Abasi anasema kuwa baada ya kumalizika kidato cha nne katika shule ya sekondari Popatlaly alipata nafasi ya masomo kusomea nchini Uingereza na hivyo kujikuta akilazimika kucheza mpira mtaani wakati anapokuwa ametoka shuleni .

Anasema alicheza mpira kwenye timu za mtaani kwa kipindi kirefu baadae watu walimuona na kumshauri kuongeza jitihada za kwenda kucheza kwenye timu kubwa na ndipo alipokwenda kufanya majaribio kwenye klabu za Chelsea kwenye dimba la Stanforde Brige na Klabu ya Birmingham City

Kwanini alishindwa kuchezea klabu ya Chelsea kama ilivyokuwa mipango yake?

Mlinda mlango huyo anasema kuwa licha ya kufanikiwa kucheza vema na kuvutia watu wengi kutokana na aina ya udakaji wake anapokuwa langoni lakini kilichomnyima nafasi ya kupata namba kwenye timu hiyo ni kutokana na kutouwa na rekodi ya kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania.

  “Kutokuwa na rekodi hii kumenifanya nishinde kupata namba ya kucheza Chelsea lakini pia kitendo cha nchi yetu ya Tanzania kushindwa kuwepo kwenye nafasi ya 70 B or kififa hilo ndio lilinikwaza kushindwa kupata kibali cha kucheza soka huko “Anasema.

Anasisitiza kuwa sababu kubwa ndio hivyo kwani hawajawahi kuichezea timu ya Taifa lakini pia kitendo cha Tanzania kutokuwepo kwenye renki za juu kwenye shirikisho la soka dunia ilikuwa ni kikwazo kikubwa cha yeye kufikia malengo yake.

  “Lakini pamoja na kupitia huku nimeenda pia kufanya majaribio kwenye vituo vya soka vya CV Academy ya North Ontony ya England na sasa nimerudi nyumbani Tanzania lakini pia nimesomea masuala ya Ukocha ngazi ya cheti kubwa zaidi nataka kuona kama ninaweza kupata nafasi ya kuichezea timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”.

Lakini kabla ya kufikia hatua ya kuchezea timu ya Taifa ya Tanzania hivi sasa anaangali namna yua kupata timu ambayo anawezea ili aweze kuonekana na baadae apata fursa ya kuitumikia timu hiyo kwani kwa sasa anafanya mazoezi kwenye timu za vijana za Boraska na Veteran kwa ajili ya kujiweka imara.
Nini malengo yake katika soka?

Pira anasema kwanza lengo lake kubwa ni kuhakikisha anapata namba ya kudumu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania ikiwemo kucheza kwenye timu yoyote hapa nchini ikiwemo Yanga,Simba na Azam FC ili kuweza kuonyesha uwezo wake aliokuwa nao.

Lakini pia anasema anaangalia namna ya kutafuta timu nje ya nchi ili kuweza kuendeleza kipaji chake kwani bila kucheza soka kinaweza kupotea na kutokuonekana kwake.

Anadhani watanzania wanakosea wapi kwenye soka?

Anasema kuwa Tanzania inashindwa kufanya vizuri kwenye medani ya soka kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya kukuzia soka hasa maeneo ya mikoani kwani vingi vimekuwa vikijengwa mkoani Dar es Salaam wakati vipaji vingi vinatokea nje ya mkoa huo.

Sambamba na hilo pia akawageukia wachezaji wanaosajiliwa na vilabu na timu za Taifa za Tanzania kuhakikisha wanatimiza ndoto za wapenzi na mashabiki kwa kuvisaidia ili viweze kufikia malengo yake kwani kutokufanya hivyo watakuwa hawana msaada.

  “Lakini nisema pia aliyeweza kuliweka soka la Tanzania kwenye ramani ni Maxio Maxime ambaye alikuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa kwa sababu ujio wake hapa nchini uliweza kubadilisha mfumo wa soka na sasa tunahitaji kupambana zaidi “Anasema.

Historia ya mlinda mlango Pirra ambaye alizaliwa February 20 mwaka 1988 alianza kuichezea timu ya Coastal Union akiwa na miaka 10 ambapo rasmi ilikuwa ni mwaka 1998 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2005 kabla ya kwenda nchini Uingereza kimasomo.

Klabu ambazo aliwahi kuzifanyia majaribio ni Chelsea mwaka 2010, Birmingham City Football Club,Colchesterter United mwaka 2011 na mwaka 2012 alikwenda kufanya kujaribu pia bahati yake kwenye klabu ya MK Dons lakini pia aliwahi kuchezea klabu ya Legton Oriet FC.

Anataka kufikia wapi kisoka “

Pirra anasema kuwa malengo yake makubwa ni kuwa kama mlinda mlango Oliver Khan wa timu ya Ujerumani na Fabian Barthezi wa nchini Ufaransa aliyeisaidia timu ya nchi hiyo kuchukua Ubingwa mwaka 1998.
MWISHO 
MAKALA HII  IMETAYARISHWA KWA HISANI YA TANGARAHABLOG

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,312,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,246,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,Habari,4988,habari dodoma,19,habari. dodoma,31,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,511,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,351,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,2,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: KUTOKUCHEZA SOKA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KUMENIKOSESHA NAMBA KLABU YA CHELSEA
KUTOKUCHEZA SOKA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KUMENIKOSESHA NAMBA KLABU YA CHELSEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxWpJ8s9mcMji91npQpwLAu5XceBGEgj_N63lzgZOELpXAiH36szyLzuQS2SQQtkPPZjQivWYXmj-9IHFoRi6-aagpETY9wtNKNWeOY24SyP_euEBMzxQK8KIPt-gkFOqeeczfrItxYalJ/s640/PIRA+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxWpJ8s9mcMji91npQpwLAu5XceBGEgj_N63lzgZOELpXAiH36szyLzuQS2SQQtkPPZjQivWYXmj-9IHFoRi6-aagpETY9wtNKNWeOY24SyP_euEBMzxQK8KIPt-gkFOqeeczfrItxYalJ/s72-c/PIRA+2.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2016/05/kutokucheza-soka-timu-ya-taifa-ya.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/05/kutokucheza-soka-timu-ya-taifa-ya.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy