Dunia ya Zuchu na ukweli wa maisha yake

  Na Mwandishi Wetu   MSANII wa kike bora kabisa Afrika Mashariki, Zuhura Othman Soud, akifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii la Zuchu...

 


Na Mwandishi Wetu

 MSANII wa kike bora kabisa Afrika Mashariki, Zuhura Othman Soud, akifahamika zaidi kwa jina lake la kisanii la Zuchu amefunguka kuhusu maisha yake ya muziki, binafsi na kusema mafanikio yake ya sasa katika muziki hayatokani na kubebwa bali juhudi binafsi na uvumilivu mkubwa alionao katika shughuli za sanaa.

 Msanii huyo ambaye anapiga muziki wake katika miondoko ya Bongo fleva na Afropop ameachia ngoma nyingine ya mapenzi katika mahadhi ya Pop, Number One majuzi ingawa bado anakimbiza na Sukari, amesema yeye hahitaji ushindani kwani presha inayotokana na muziki wake inatosha. Kufikia jana mchana katika mtandao wa kawaida wa You Tube, Sukari iliyoachiwa humo Januari 20,2021 ilikuwa na  watu  15,729,603 huku Number One iliyoachiwa Machi 5,2021  ilikuwa na watu 66,219.

 "Kushindana  kunaleta faida gani... mimi najenga carrier yangu.. kuachia sukari kunanipa presha.." alisema akimaanisha  kazi hiyo bora inamfanya kufikiria kazi nyingine bora zaidi ili kukonga nyoyo za mashabiki wake.

 Zuchu aliyeanza kutumia lebo ya WCB Wasafi Records mwaka 2020  chini ya uongozi wa Diamond Platnumz anasema yeye haoni faida ya kupambanishwa kwani hapati chochote kile kwa kupambanishwa na wala hafanya ushindani na msanii yoyote yule, akitolea mfano wa Beyonce na Robyn Rihanna na kusema Beyonce mpaka leo bado anawika kwani hakufanya ushindani bali alijenga  kazi zake.

 Alipoulizwa kuhusu kujiunga na Lebo ya WCB alisema kwamba anamshukuru Mungu kwa kumwezesha kufanya uchaguzi sahihi wa lebo ambayo inamtoa. Aidha aliongeza kuwa uvumilivu kabla hajatoka umempa nguvu kubwa ya kutambua umuhimu wa uchapakazi.

 Akizungumzia uhusiano wake na Diamond alisema kwamba yeye ni bosi wake wala hana uhusiano wa mapenzi kama watu wanavyofikiri na wala hajawahi kumfiria kimapenzi Dimond kwani ni bosi wake. Aliongeza kwamba kuna mipaka hata ya mzungumzo ingawa mara kadhaa Bosi wake huyo alikuwa anatania mbele ya wenzake kwamba , eti watu wanasema yeye ni mzigo wake.

 Aidha Zuchu ambaye alianza kazi ya sanaa mazima baada ya kumaliza diploma ya juu ya CEBA nchini India alisema kwa sasa ana mahusiano mazuri tu na baba yake mzee  Othman Soud na kusema askari huyo wa zamani (baba yake) wanazungumza vyema japo wakati walipoachana na mama yake hapo katikati  alikuwa kimya sana.

 Alimwambia mtangazaji maarufu wa kipindi cha Refresh cha WCB, Aliyaah kuna wakati alimwandikia barua yake huyo ya kuhoji kwanini hamtembelei au sio baba yake mzazi kitu kilichomfanya  mzee huyo kufika nyumbani kumuona na kumwachia Sh 20,000 za sikukuu ya Idd akiwa mdogo.

 Zuchu anasema katika mahojiano inaonekana  wakati mama na baba yake walipoachana ni kama vile baba yake naye alimwacha lakini alikuwa anaendeleza mawasiliano na mwaka jana, mama yalke alipomwambia kwamba baba yake anaumwa walienda kumtazama na walipokutana baada ya kitambo kirefu baba na mtoto walilia sana yeye alimshukuru Mungu kwa kuwakutanisha tena kama familia.

 Zuchu aliyezaliwa Novemba 22 mwaka 1993  visiwani Zanzibar na aliyewahi kutunukiwa tuzo ya silver play button na mtandao wa kijamii wa Youtube kwa kuwa msanii wa kwanza wa kike Afrika mashariki kwa kufikisha wafuasi zaidi ya 100,000 ndani ya wiki moja na pia tuzo ya msanii bora chipukizi wa mwaka 2020 na All Africa Music Awards (AFRIMMA) anasema kwamba si rahisi kufanyakazi na Diamond Platnumz na kolabo zake mbili za cheche na Litawachoma na naye hazikupatikana kirahisi bali ni kwa jasho kubwa.

 Zuchu pia amefanya mefanya kolabo na  Khadija Kopa  wimbo wa Mauzauza na Nobody na Joe Boy.

 Alisema Diamond alimpa fimbo ya kuchapia kwa kumwambia kwamba aimbe muziki anaouimba sasa kwani waimbaji ni wengi duniani lakini aina ya uimbaji wake (taarabu) ni wa kwake mwenyewe.

 Zuchu aliyezaliwa kwenye familia ya wanamuziki, mama mwimbaji wa taarabu anayefahamika kwa jina la Khadija Kopa na baba Othman anasema katika udogo wake alilazimika kujitafutia marafiki mwenyewe kwani umaarufu wa wazazi wake ulikuwa unatafsiriwa vibaya na kumletea shida katika katika ukuaji wa kawaida.

 Jambo ambalo mpaka leo hana raha nalo ni kifo cha nduguye Omar ambaye alisema kwamba alikuwa ndiye mlezi wake kwani mara nyhingi hakuwa karibu  na wazazi wake waliokuwa na shughuli nyingi. Kutokana na hali hiyo huwa hasikilizi nyimbo zake wala hajawahi kwenda kwenye kaburi.

 "Nikimkuta mtu anasikiliza nyimbo zake, huwa namwambia azime akikataa naondoka " anasema huwa anaumia sana japo jambo hilo limetokea akiwa mdogo na alipewa tarifa baada ya kumaliza mitihani yake.

 Zuchu aliachia albamu ya kwanza iliyotambulika kama “ I am Zuchu “ mwaka 2020 ikiwa na nyimbo 7 ukiwamo wa hakuna kulala. Albamu yake hiyo ndiyo iliyosikilizwa na watu wengi zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2020 na video za nyimbo zake zimetazamwa na mamilioni ya watu duniani.

 

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,330,burundani,2,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,251,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,habar,1,Habari,5194,habari dodoma,29,habari. dodoma,32,habaria,1,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,531,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,miochezo,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,353,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,5,SAYANSI ANGA,3,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,13,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,urembo,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTALII,1,UTAMADUNI,3,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Dunia ya Zuchu na ukweli wa maisha yake
Dunia ya Zuchu na ukweli wa maisha yake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgj9lYV3nJRq0ySB_eTz9HsbduvfeKG6oy3pPuiOqJ07BqhA-gHK1Qh85W5wfumhB_OxJ905vlXTiSokQLqNXmonoEY_5RIVHMxjfQDaNXSHJbINKEUtKlZb2NAyAtych4ODqKKdx9K4w7R/s320/zuchu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgj9lYV3nJRq0ySB_eTz9HsbduvfeKG6oy3pPuiOqJ07BqhA-gHK1Qh85W5wfumhB_OxJ905vlXTiSokQLqNXmonoEY_5RIVHMxjfQDaNXSHJbINKEUtKlZb2NAyAtych4ODqKKdx9K4w7R/s72-c/zuchu.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2021/03/dunia-ya-zuchu-na-ukweli-wa-maisha-yake.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2021/03/dunia-ya-zuchu-na-ukweli-wa-maisha-yake.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy