AGRA yazindua mkakati wa miaka 5 kuimarisha masoko ya mazao ya kilimo

Na Mwandishi wetu Mpango mkakati wa AGRA wenye kaulimbiu ya kuchochea masoko jumuishi na yenye ushindani katika kilimo ili kuleta mabadili...


Na Mwandishi wetu

Mpango mkakati wa AGRA wenye kaulimbiu ya kuchochea masoko jumuishi na yenye ushindani katika kilimo ili kuleta mabadiliko kwenye mifumo ya chakula nchini Tanzania umezinduliwa mjini Dodoma leo Jumatano.

Uzinduzi huo umefanywa  Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Hamis Ulega ambaye alkipongeza AGRA kwa kuja na mkakati huo wenye kugusa maeneo man manne muhimu.

Katika uzinduzi huo alikuwepo pia Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Baraza la Rais la chakula na kilimo, Mizengo Pinda.

Katika salmu zake kwenye uzinduzi huo Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe, akiwakilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli alisema serikali imeweka kipaumbele katika sekta ya kilimo ili kutengeneza maisha zaidi huku ikihakikisha kuwa vijana na wanawake wanajumuishwa.

“Tanzania inalenga kuwa ghala la chakula kwa Afrika na dunia nzima. Tumejitolea kufungua uwezo wa sekta ya kilimo, ambayo kwa sasa inachangia asilimia 25 ya Pato la Taifa na ni chanzo kikuu cha fedha za kigeni na chanzo cha ajira na utajiri.”

Alisema pamoja na mabadiliko ya teknolojia pia rais sanmia suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri maofsia ugani wa kutosha na vifaa kusaidia kuleta mapinduzi

Pinda akizungumza alisema pamoja na kutambua mafanikio makubwa ambayo Tanzania imefikia bado kuna kazi kubwa ya kukabili umaskini mkubwa uliopo vijijini.

Ametaka sekta zote na wizara husika kuendeleza juhudi za kupambana na umaskini wa kipato na kuipa mifumo ya chakula

 "Tuna ardhi, tuna kila kitu kinachohitajika. Tunachohitaji kufanya ni kuweka kipaumbele katika maendeleo na uboreshaji wa mifumo ya chakula ili kujenga maisha endelevu na kuinua jamii za vijijini."

Pinda :.. Tumefanya vizuri katika maeneo mengi na kubwa ni utulivu wa nchi yetu...mfumo wetu wa chakula haujapewa nafasi ya kutosha..kufungua uelewa zaidi juu ya hali ya nchi na umuhimu wa kuongeza kasi ya kutumia ardhi yetu ipasavyo na ndani ya rdhi yetu ipasavyo na ndani ya kipindi kifupi." alisema Pinda.

Alisema kuna umuhimu wa Nidhamu ya kazi na kujikita katika teknolojia za kileo kama walivyo Israel ambao hawana mito lakini wana kilimo cha umwagiliaji chenye tija.

Mkakati huo umelenga kuwajengea uwezo vijana na wanawake wa Kitanzania katika mnyororo wa thamani wa kilimo na hivyo kukuza ajira ukuaji wa ustawi wa jamii na uchumi.

Mkakati huo unajumuisha uboreshaji wa upatikanaji wa fedha na masoko, na kukuza utumiaji wa teknolojia mahiri za hali ya hewa na matumizi ya pembejeo, kama vile mbegu na mbolea.

Mkakati huo umelenga kuwa na jukwaa thabiti la kushirikisha maarifa na ubunifu na kukuza mijadala yenye maarifa kuhusu changamoto katika kilimo na biashara na kuboresha ufikiaji wa afua muhimu za kifedha kwa lengo la kuwezesha matumizi makubwa ya teknolojia na sayansi katika kilimo.

Mkakati huo unatarajiwa kunufaisha wakulima milioni tatu nchini kwa kuwapatia masoko ya mazao yao.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana katikauzinduzi huo Mkakati huo umeganyiwanyika katika maeneo tofauti Kijiografia ikiwamo Nyanda za Juu Magharibi, Kanda ya Kati, Nyanda za Juu Kusini, Nyanda za Juu Kaskazini na Zanzibar.

Aidha imeelezwa kuwa mazao yaliyopewa kipaumbele ni pamoja na mahindi, mtama, maharagwe, mihogo, alizeti, soya, ngano, viazi na mazao ya bustani.

Akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua mkakati huo, Mkuu wa Kikanda wa AGRA, Afrika Mashariki, Profesa Jean Jacques M. Muhinda   alisema taasisi yake katika miaka hiyo mitano imelenga kuunga mkono juhudi za serikali ya Tanzania kuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula.

“Tanzania imeonyesha umahiri katika kubadilisha mifumo yake ya kilimo cha chakula. Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, tunanuia kusaidia kufungua fursa zaidi za kilimo na masoko wakati nchi inapoendelea kufanya mabadiliko chanya kwenye kilimo. Tumejitolea kuunga mkono vipaumbele vya serikali kwa sekta ya kilimo  ambayo imekuwa ikijijenga kwa miaka mingi.”

AGRA ambayo iliingia Tanzania mwaka 2006 imekuwa ikifanya kazi na serikali na mashirika binafsi na yale ambayo si ya kiserikali katika kuvutia uwekezaji, kusaidia mageuzi ya sera na kutoa zana za kilimo, maarifa na msaada kwa wakulima.

Aidha AGRA imeshirikiana na sekta binafsi kupitia Tanzania Agro-Industrialization Development Flagship,TAIDF, katika kuhakikisha kilimo kinakua na kinachangia katika pato la Taifa.

TAIDF ni mradi mkubwa wa kuwezesha maendeleo ya viwanda vya kilimo kwa kuhamasisha na kuratibu ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi; katika mradi huu ufadhili wa Dola za Marekani milioni 300  zilipatikana na kunufaisha wakulima zaidi ya milioni moja.

Serikali pia ilitoa vivutio mbalimbali vya kodi ili kuvutia uwekezaji kutoka sekta binafsi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli alisema Tanzania imelenga kuwa ghala la chakula kwa nchi za Afrika na duniani kote na hivyo haina budi kufungua uwezo wa sekta ya kilimo.

“Tanzania inalenga kuwa ghala la chakula kwa Afrika na dunia nzima. Tumejitolea kufungua uwezo wa sekta ya kilimo, ambayo kwa sasa inachangia asilimia 25 ya Pato la Taifa na ni chanzo kikubwa cha fedha za kigeni na chanzo cha ajira na utajiri." alisema Mweli.

Mwei alisema kwamba serikali ya awamu ya sita imeweka kipaumbele sekta ya kilimo ili kukiwezesha kupaa huku ikisaidia kupata ajira wanawake na vijana.

Uzinduzi wa mkakati huo mpya wa AGRA unafanyika wakati Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Mifumo ya Chakula Afrika 2023 (AGRF) litakaloanza Septemba 4  na kumalizika Septemba  8  mkoani Dar es salaam.

AGRF ni jukwaa kuu la Afrika lenye lengo la kuendeleza ajenda ya kilimo na mifumo ya chakula.

Mkutano huo utaleta pamoja makundi mbalimbali ikiwamo viongozi, watunga sera, wanasayansi, wakuu wa serikali, taasisi za kibinafsi, wakulima na vijana: ambao watakubaliana juu ya hatua za kivitendo ili kupata suluhisho kwa mifumo ya chakula barani Afrika.

"Jukwaa la mwaka huu lina umuhimu wa kipekee katika safari ya bara la Afrika kuelekea usalama wa chakula na ustawi wa pamoja." alisema

Mada ya mkutano wa 2023,itakuwa  Regenerate, Recover, Act: Africa’s solutions to Food Systems Transformation, inalenga kuhakikisha bara la Afrika linaonesha umadhubuti wake katika kubadilisha mifumo ya chakula ili kuzalisha chakula cha kutosha na chenye lishe ndani yake na kuboresha jinsi kinavyozalishwa hasa ukizingatia mabadiliko ya hali ya hewa.

Afrika kwa sasa ni muagizaji mkuu wa chakula kutoka nje, na inaonekana uagizaji wa chakula utaendelea kupanda kutoka dola bilioni 43 mwaka 2019 hadi dola bilioni 110 mwaka 2025 kama hatua za makusudi zisipochukuliwa kukabili hali hiyo.

Kwa mujibu wa tovuti ya AGRA, shirika hilo linafanya kazi zake kuwiana na Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo nchini (ASDP II), unaolenga kubadilisha mifumo ya kilimo nchini Tanzania sambamba na kuongeza tija na kipato kwa wakulima wadogo.

AGRA pia inachochea ushirikishwaji wa sekta binafsi na uwekezaji katika kilimo kwa kushirikiana na serikali na washirika wa kimkakati.

Baada ya kujenga msingi thabiti wa teknolojia, ubia na miundo, AGRA iko tayari kuongeza kilimo chenye jumuishi na chenye ushindani nchini Tanzania.

Mkakati wake wa 2017-2021 uliunganisha ulilenga kuchochea na kudumisha Mabadiliko ya Kilimo Jumuishi. Mabadiliko hayo yalilenga kuongeza mapato na kuboresha usalama wa chakula kwa kaya za wakulima wadogo milioni 1.5 kwa kuwekeza dola za Marekani milioni 28.

kiasi hicho cha  fedha kimewekezwa  ambapo dola milioni 11.3 zilisambazwa kupitia ruzuku 31 tofauti ambapo wakulima 742,865 walinufaika.

Aidha, Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili umenufaika na ruzuku kubwa ya dola milioni 1.672. Zaidi ya wakulima 42,000 wamefaidika moja kwa moja na mpango huo, wakiongezewa na wakulima 34,000 walioathiriwa kupitia mipango mingine mbalimbali.

Kutokana na juhudi hizo Mauzo ya mazao chini ya mipango ya AGRA yalivutia $1.6 milioni.

Wakati AGRA ikizindua mpango mkakati wake mpya, shirika limedhamiria kuendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta mabadiliko na ukuaji wa sekta ya kilimo nchini Tanzania.

 

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: AGRA yazindua mkakati wa miaka 5 kuimarisha masoko ya mazao ya kilimo
AGRA yazindua mkakati wa miaka 5 kuimarisha masoko ya mazao ya kilimo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpDB5soImU10RZSmlogA0w4mILnpQ90kxAf43vmAnFii4vR58Oxk6REnwBOZCGFnQ5rWDH0-jP5JYBtL3uZsMoxOJZWY2CrrmYVHPo8L-1ak5aioyMbkFLte6os_Zot7zaejdU6yLRjXTavv9hzi4mbkCh5-eQ2Y3Xm1NZC2nIBNEb2Mtad2KcqEgJkpIw/s320/pinda.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpDB5soImU10RZSmlogA0w4mILnpQ90kxAf43vmAnFii4vR58Oxk6REnwBOZCGFnQ5rWDH0-jP5JYBtL3uZsMoxOJZWY2CrrmYVHPo8L-1ak5aioyMbkFLte6os_Zot7zaejdU6yLRjXTavv9hzi4mbkCh5-eQ2Y3Xm1NZC2nIBNEb2Mtad2KcqEgJkpIw/s72-c/pinda.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2023/07/agra-yazindua-mkakati-wa-miaka-5.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2023/07/agra-yazindua-mkakati-wa-miaka-5.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy