Kongamano la Kimataifa la Mahakama kuhusu Haki Miliki, Alama za Biashara lazinduliwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 26 Juni, 2024 amezindua Kongamano la Kimataifa la Mahakama kuhusu Haki Mili...

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo tarehe 26 Juni, 2024 amezindua Kongamano la Kimataifa la Mahakama kuhusu Haki Miliki, Alama za Biashara na Usimamizi wa Mashauri kujadili mada mbalimbali zinazolenga kuwajengea uwezo Majaji na Mahakimu katika kushughulikia mashauri yanayohusu miliki bunifu. Kongamano hilo ambalo la siku mbili linalofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambalo limeandaliwa na Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO), linawaleta pamoja Majaji wa Tanzania, Majaji kutoka Mahakama ya Uingereza na Kenya, Naibu Wasajili na Mahakimu wa Mahakama ya Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kongamano hilo, Mhe. Prof. Juma aliwataka Majaji na Mahakimu kusimamia masuala ya haki miliki kwa ufanisi, haki na uthabiti katika robo ya pili ya karne ya 21. "Sote tunakubali kwamba Karne ya 21 inakwenda kwa kasi,na mipaka mingi mipya inayohitaji Mahakama kushika kasi. Hakuna shaka kwamba, katika miaka ijayo, mashauri ya haki miliki yataendelea kuvuka mipaka mipya,” alisema. Jaji Mkuu alisema kwamba kutokana na mabadiliko ya haraka ya teknolojia ya kisasa na akili bandia, robo ya pili ya Karne ya 21 itashuhudia ubunifu na uvumbuzi wa kuvuka mipaka. Mhe. Prof. Juma alisema kuwa Mahakama zitazidi kutegemewa kulinda haki miliki za wabunifu na wavumbuzi. Alikubaliana na wale, kama Francelina Perdomo Klukosky, ambaye anasisitiza kwamba kulinda haki miliki ni ndoto ya lazima katika karne ya 21. Jaji Mkuu alieleza kuwa wakati Tanzania inaelekea kwenye hadhi ya kipato cha kati, hitaji la ulinzi thabiti zaidi wa haki miliki linaongezeka. "Mahakama imeshuhudia ongezeko kubwa la mizozo inayohusiana na miliki bunifu, inayoonyesha uelewa unaokua na utumiaji wa haki za miliki bunifu. Mwenendo huu unasisitiza haja ya Majaji, Mahakimu, na mfumo wa Mahakama ambao unaweza kujibu kwa haraka na kwa haki mashauri ya ukiukaji wa miliki bunifu,” alisema. Mhe. Prof. Juma alifurahishwa na Majaji na Mahakimu waliofuzu kwa Kozi ya Jumla ya Mafunzo ya Masafa kuhusu Miliki Bunifu inayotolewa na Chuo cha WIPO wanashiriki katika kongamano hilo. Kwa mfano, alisema, Chuo cha WIPO kilimsajili Jaji Stephen Murimi Magoiga katika Kozi ya Jumla ya Mafunzo ya Masafa kuhusu Miliki Bunifu kwa Majaji kuanzia tarehe 12 Septemba 2023 hadi 06 Novemba 2023. “Jaji Dk. Paul Kihwelo wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mhe. Upendo Ngitiri awmekuwa wakinifahamisha kila mara kuhusu mahudhurio ya Majaji na Mahakimu wa Tanzania katika semina za Mahakama kuhusu hakimiliki, alama za biashara na utatuzi mbadala wa migogoro, ambazo WIPO ilitoa," alisema. Kwa upande wake, Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushot, (IJA), Mhe. Dkt. Paul Kihwelo, alitoa shukrani kwa WIPO kwa kujitolea kwao na kuwakutanisha majaji kutoka Uingereza, Kenya na Tanzania pamoja na Naibu Wasajili na Mahakimu kutoka Mahakama ya Tanzania. Mhe. Dk Kihwelo ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, alisema wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu, kwani kuna mafunzo yalifanyika nchini Tanzania na kuna mengine ya masafa ambayo Tanzania ni ya pili Duniani kushiriki katika kozi za kujifunza masafa za WIPO, wakati nchi ya kwanza ni Misri. "Tumekuwa tukifanya mengi katika mafunzo kwa njia ya mtandaoni nchini Tanzania na Majaji na Mahakimu wamekuwa wakishiriki kikamilifu. Mafunzo ya kwanza yalihusu miliki bunifu, ambapo Majaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Dkt.Theodora Nemboyao Mwenegoha na Mhe. Dk Ubena John Agatho walikuwa miongoni mwa wawezeshaji,” Mhe. Dk.Kihwelo alisema. Akizungumza baada ya uzinduzi huo, Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Nkya, alieleza kuwa Mahakama ya Tanzania na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO) kwa pamoja walisaini hati ya makubaliano tarehe 5 Machi, 2021 kwa madhumuni ya kushirikiana katika maeneo mbalimbali yaliyolenga kuboresha utoaji haki kwenye eneo la miliki bunifu “Intellectual Property” na usuluhishi wa migogoro mahakamani. “WIPO imekuwa ikishirikina na Mahakama ya Tanzania katika maeneo mbalimbali ambayo yamelenga kuboresha utoaji haki katika eneo la miliki bunifu kwa zaidi ya miaka mitano. Kwa mwaka huu wa 2024 ,WIPO kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania imeandaa kongamno hili la Kimataifa la Mahakama kuhusu miliki bunifu na Usimamizi wa Mashauri,” amesema. Msajili Mkuu amesema kuwa kufanyika kwa Kongamano hilo ni sehemu ya utekelezaji wa Hati ya Makubaliano hayo. Amesema kuwa katika kipindi hiki cha siku mbili za Kongamano, mada mbalimbali zaitawasilishwa na wawezeshaji mahiri waliobobea katika maeneo hayo, ikiwemo Hali ya uendeshaji wa mashauri ya Miliki Bunifu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mada nyingine ni kanuni za Ulinzi wa Alama za Biashara; Uvunjifu wa Alama za Biashara; Kanuni za Ulinzi wa Haki Miliki; Uvunjifu wa Haki Miliki; Mahitaji ya Kiushahidi; Ushahidi wa Kidijitali katika Mashauri ya Alama za Biashara; Hatua za Nafuu za Dharura na Mbinu za Usimamizi wa Mashauri ya Miliki Bunifu. Mhe, Nkya alitaja mada nyingine kama namna ya Kuharakisha Usikilizaji wa Mashauri ya Miliki Bunifu kwa kuangalia nchi zinazofanya vizuri kama Uingereza na Fursa na Changamoto katika Kuimarisha Usimamizi wa Mashauri ya Miliki Bunifu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. SOURCE:Tanzaniajudiciary

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,308,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,243,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4974,habari dodoma,19,habari. dodoma,31,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,510,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,351,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,2,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Kongamano la Kimataifa la Mahakama kuhusu Haki Miliki, Alama za Biashara lazinduliwa
Kongamano la Kimataifa la Mahakama kuhusu Haki Miliki, Alama za Biashara lazinduliwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhesIJryufOJpMONv0z6qyCEQdePSDST6FhlRMMbsxLT9lLTjcG21cYAfIAAVK7xCLKaCMygC_lYlM5_iHC8bw6YHl-3Oigxt3PdHO0r30w8EMEDg9hLHoo7VaxWfj9nGbs3q-XccRJb24E37UQGb1eIttirN3GPwLV1Khm9xxnsb630eL9BXxalMls9ONW/s320/jaji%20mkuu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhesIJryufOJpMONv0z6qyCEQdePSDST6FhlRMMbsxLT9lLTjcG21cYAfIAAVK7xCLKaCMygC_lYlM5_iHC8bw6YHl-3Oigxt3PdHO0r30w8EMEDg9hLHoo7VaxWfj9nGbs3q-XccRJb24E37UQGb1eIttirN3GPwLV1Khm9xxnsb630eL9BXxalMls9ONW/s72-c/jaji%20mkuu.JPG
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2024/06/kongamano-la-kimataifa-la-mahakama.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2024/06/kongamano-la-kimataifa-la-mahakama.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy