Asteroidi 2024 YR4 yaiacha dunia sasa kugonga mwezi

  PASADENA, Marekani   Shirika la Utafiti wa Anga za Juu la Marekani(NASA) limesema mwezi unaweza kugongwa na asteroidi (gimba dogo) 202...

 



PASADENA, Marekani

 Shirika la Utafiti wa Anga za Juu la Marekani(NASA) limesema mwezi unaweza kugongwa na asteroidi (gimba dogo) 2024 YR4 ifikapo Desemba 22,2032.

 Aidha  shirika hilo limesema kwamba dunia kwa sasa imeondoka katika hatari ya kugongwa na gimba hilo dogo.

 Ikifafanua taarifa zake limesema kwamba pamoja na tishio hilo kwa mwezi, uwezekano wake wa kutokea ni mdogo kwa asilimia 4.3.

 Ufafanuzi huu mpya wa njia ya asteroidi umetokana na uchunguzi wa kina uliofanywa na Darubini ya Angani ya James Webb (James Webb Space Telescope) mwezi Mei. Data mpya zimesaidia wanasayansi kuboresha utabiri wao wa mwelekeo wa asteroidi kwa karibu asilimia 20, na hivyo kuongeza uwezekano wa kugonga Mwezi.

 


Asteroidi ni miamba ya kale ya anga iliyobaki kutoka kwa uundaji wa Mfumo wa Jua ambayo inafikiriwa kuwa ilileta molekuli ngumu, na labda maisha ya mapema, Duniani mabilioni ya miaka iliyopita.

 Asteroid 2024 YR4 iligunduliwa kwa mara ya kwanza Desemba 27, 2024. Vipimo vya awali viliashiria ukubwa wake kuwa kati ya mita 40 na 90, lakini vipimo vya hivi karibuni vya infrared kutoka Darubini ya James Webb vimebainisha kuwa kipenyo chake ni takriban mita 60.

 NASA imesisitiza kuwa hata kama asteroid hii itagonga Mwezi, haitaathiri mzunguko wa Mwezi au kusababisha madhara makubwa kwa Dunia. Mwezi umekuwa ukigongwa mara kwa mara na asteroidi katika historia yake, na wingi wake pamoja na utulivu wa mzunguko wake ni imara kiasi cha kukabiliana na mgongano mwingine.

 NASA imesema itaendelea kufanya uchunguzi zaidi wa asteroid 2024 YR4 ifikapo mwaka 2028 ili kuboresha zaidi taarifa zake.

 Asteroidi hii katika njia yake ya awali ilitarajiwa kugonga Dunia, mnamo saa 8:02 alasiri kwa saa za kimataifa (2:02pm GMT) mnamo Desemba 22, 2032.NASA walisema kuwa asteroid hiyo ingeweza kugonga mahali fulani katika eneo la Bahari ya Pasifiki ya Mashariki, kaskazini mwa Amerika Kusini, Bahari ya Atlantiki, Afrika, Bahari ya Arabia, au Kusini mwa Asia.

 

Tunachokijua

Daktari Luca Conversi, ambaye ni meneja wa Kituo cha Uratibu wa Vitu Vilivyokaribu na Dunia (NEOCC) cha Shirika la Anga la Ulaya (ESA), ambacho kinahusika sana katika kufuatilia 2024 YR4 anasema asteroidi 2024 YR4 inakadiriwa kuwa na upana wa kati ya mita 40 hadi 90 (futi 130 hadi 300). Aidha amesema imetengenezwa kwa mada yenye miamba badala ya vifaa imara zaidi kama chuma. Hivyo inaweza kuvunjika vipande vidogo vidogo ikiingia kwenye angahewa ya Dunia, na sasa kwenye mwezi.

 Dunia hushambuliwa na zaidi ya tani 100 za vumbi na chembe za ukubwa wa mchanga kila siku, kulingana na NASA - lakini ni ndogo kiasi kwamba kwa kawaida huungua kwenye angahewa kabla ya kusababisha uharibifu wowote. Hii inamaanisha asteroidi au kometi inaweza kuwa na asilimia 100 ya nafasi ya kufika Duniani.

 Darubini ya Angani ya James Webb (James Webb Space Telescope) ya NASA ambayo hapo awali imetumika kunasa picha zisizo na kifani za nyota zinazozaliwa na kufa, sasa kinasoma asteroidi kwa kutumia mwanga wa infrared - au joto - ambao unasababisha makadirio bora ya ukubwa wake.

 Nini Kinatokea Sasa?

 


Asteroid kwa sasa iko mbali na Dunia kwa mamilioni ya maili, na inazidi kwenda mbali kadri inavyotakiwa kuzunguka Jua.

 

Mwanafizikia wa nyota wa Oxford, Profesa Stephen Smartt, ambaye ni sehemu ya timu ya darubini ya ATLAS inayofuatilia vitu vya anga kama 2024 YR4, ameiambia Sky News kwamba hakuna mengi yanayotarajiwa kubadilika kuhusiana na asteroidi hiyo hadi 2028 wakatik dunia itakapoanza kuona tena asteroidi.

 Mwanafizikia mashuhuri Brian Cox amependekeza kwamba dunia ni lazima kujiandaa kutekeleza misheni ya kuhami dunia kwa kuondoa matishio ya dhahiri. "Ni kama ulimwengu uamue kufanya jaribio kuona kama Sayari Dunia bado ina uwezo wa kufanya maamuzi yenye mantiki,na kuzuia maangamizi yake kupitia asteroidi" aliandika kwenye mtandao wa X.

Wanaastronomia kama Daktari Whitehouse aliiambia Sky News kwamba uwezekano wa asteroid kugonga Dunia "hauwezi kupuuzwa" na inamaanisha "tumefanya maamuzi mazito sana." Alidai inaweza kugeuka kuwa "kitu hatari zaidi angani" na kuongeza: "Siwezi kusisitiza sana kwamba hili ni tishio ambalo si la kufurahisha tu, kwamba si la 'gosh, si ajabu?' Hili linaweza kugeuka kuwa tishio kubwa kwa sayari yetu."

 Ni nadra sana kwa asteroidi ya ukubwa huu kuwa na uwezekano mkubwa wa kugongana na Dunia. Kumekuwa na ulinganisho kati ya 2024 YR4 na asteroidi ya Apophis, iliyogunduliwa mnamo 2004, ambayo ilikadiriwa kwa muda kuwa na uwezekano wa asilimia 2.7 wa kugonga Dunia mnamo 2029. Lakini uwezekano huo wa athari ulipungua hadi karibu asilimia 0 ndani ya siku chache. Ilikuwa ni ukubwa uliokithiri wa Apophis - mita 300 - uliozivuta hisia zaidi.

 Kama nilivyoandika hapo awali Dunia inagongwa moja kwa moja na asteroidi za ukubwa sawa na 2024 YR4, lakini mara moja tu kila baada ya miaka elfu kadhaa. Mnamo 1908, asteroidi ndogo kidogo - iliyofikiriwa kuwa na upana wa mita 60 - ililipuka juu ya Siberia.

 Tukio hilo, ambalo lilijulikana kama Tukio la Tunguska, lilisababisha miti milioni 80 kubomolewa katika eneo la mbali lililokuwa na ukubwa wa maili za mraba 830. Mashuhuda wa karibu katika eneo hilo lenye watu wachache waliripoti kuona mpira wa moto na kusikia mlipuko mkubwa, kulingana na NASA, lakini hakuna aliyejeruhiwa.

Mwisho

Makala haya yameandikwa kwa kusaidiwa na vyanzo mbalimbali ya majarida ya sayansi za anga za juu

 

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,372,burundani,2,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,270,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,habar,2,Habari,5866,habari dodoma,38,habari. dodoma,32,habaria,1,hadithi,23,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,6,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,619,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,miochezo,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,369,muziki na fasheni,18,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,5,SAYANSI ANGA,7,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,15,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,urembo,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTALII,1,UTAMADUNI,4,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Asteroidi 2024 YR4 yaiacha dunia sasa kugonga mwezi
Asteroidi 2024 YR4 yaiacha dunia sasa kugonga mwezi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWOe6V8YckHvtsxZUQEGY49pKUVJCl7na3Fals0FCH7RfiBw59OzbQTgtjIS_tv4hizKKLjOeDVGo3SqzIOJShb1Ask5ykqXjVFhkmQFm2_TB2mluy9NXHE_tCXkLcNAi9daN8O9TvfvOlgatMwUAXA4O6A-Ij0F3wSi5CPoraa0PoAxH14dt3SE4DMAQi/s320/gomnga2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWOe6V8YckHvtsxZUQEGY49pKUVJCl7na3Fals0FCH7RfiBw59OzbQTgtjIS_tv4hizKKLjOeDVGo3SqzIOJShb1Ask5ykqXjVFhkmQFm2_TB2mluy9NXHE_tCXkLcNAi9daN8O9TvfvOlgatMwUAXA4O6A-Ij0F3wSi5CPoraa0PoAxH14dt3SE4DMAQi/s72-c/gomnga2.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2025/06/asteroidi-2024-yr4-yaicha-dunia-sasa.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2025/06/asteroidi-2024-yr4-yaicha-dunia-sasa.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy