TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA Sh. BILIONI 78.6 KUTOKA UJERUMANI

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia), na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) anaesimamia nchi z...

 

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia), na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) anaesimamia nchi za Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya, Bw. Christoph Tiskens, wakisaini Hati za Mikataba mitatu ya misaada yenye thamani ya euro milioni 25.68 (sawa na sh. bilioni 78.58) kwa ajili ya miradi ya maji, Mradi wa ustahimilivu wa tabianchi unaojulikana kama “Climate Resilient Towns project” na Uhifadhi wa Maliasili unaojulikana kama “Project for Sustainable Development of Protected Areas”, katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi Ndogo ya Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.

 

Tanzania na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) zimesaini Mikataba mitatu ya misaada yenye thamani ya Euro milioni 25.68 (sawa na sh. Bilioni 78.58) kwa ajili ya miradi ya Maji na Maliasili.

 Mikataba hiyo imesainiwa katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam na  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na kwa upande wa Ujerumani imesainiwa na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Manuel Muller na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) anaesimamia nchi za Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya, Bw. Christoph Tiskens.

 Dkt. Mwamba alisema kuwa mikataba iliyosainiwa ni kwa ajili ya mradi wa programu ya ufadhili wa miradi ya Maji inanayotegemea matokeo (Investment Financing Facility – Output Based Approach (IFF-OBA) kwa kiasi cha Euro milini 10 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 30.6.

 Mkataba mwingine ni wa fedha za kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya mradi wa ustahimilivu wa tabia nchi (Climate Resilient Towns project) kwa kiasi cha shilingi za Tanzania bilioni 2.08.

 Alisema kuwa mkataba wa tatu ni wa utekelezaji wa mradi wa Uhifadhi wa Maliasili unaojulikana kama Project for Sustainable Development of Protected Areas kwa kiasi cha Euro milioni 15 sawa na shilingi bilioni 45.9.

 Amesema lengo la miradi hiyo ni kutoa motisha kwa Mamlaka za Maji hapa Tanzania kukopa kutoka Benki za Kibiashara kwa ajili ya kujenga miundombinu ya maji ili kuboresha huduma na kuongeza mapato. 

 Alisema kuwa Kupitia Programu ya IFF – OBA, mamlaka zilizokidhi vigezo zinaweza kukopa kutoka Benki za Biashara na kupatiwa ruzuku kutoka kwenye programu ambapo Mamlaka husika zinapokidhi vigezo, zinaweza kupatiwa ruzuku ya asilimia 50 ya gharama za miradi hadi kufikia kiwango kisichozidi Euro milioni Moja. 

 Pia mikataba hiyo inalenga uhifadhi na uendelezaji wa maeneo ya Hifadhi za Serengeti na Katavi- Mahale kuhakikisha kunakuwa na uhifadhi na manufaa ya kijamii kwa jamii zinazozunguka hifadhi hizo.

 Aidha Dkt. Mwamba ameihakikishia Serikali ya Ujerumani kuwa miradi iliyokusudiwa itatekelezwa kikamilifu na pia Tanzania chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na Ujerumani kwa manufaa ya watu wa pande zote mbili.

 Kwa Upande wake Naibu Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Manuel Muller, alisema kuwa utiaji saini wa mikataba hiyo mitatu ambayo ni sehemu ya muendelezo wa ushirikiano wa kifedha kati ya Tanzania na Ujerumani kupitia benki yake ya maendeleo (KfW).

 “Nina furaha kubwa kufanikisha zoezi hili na Ninawatakia wananchi wa Tanzania maendeleo makubwa, hasa katika Maliasili ambayo pia inamaanisha utalii kuna watalii wengi kutoka Ulaya, hasa kutoka Ujerumani, na hiyo inaleta nguvu kubwa ya kiuchumi kwa nchi, jambo ambalo ni muhimu. Naweza kuwahakikishia kuwa Ujerumani itaendelea kuwa mshirika wa kweli wa Tanzania, Tutaendelea kusimama pamoja nanyi” alisema Mhe. Muller

Naye Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) anaesimamia nchi za Afrika Mashariki na Umoja wa Ulaya, Bw. Christoph Tiskens, alisema kuwa Mikataba hiyo, ni ishara ya hatua nyingine mbele katika ushirikiano kati ya Tanzania na Ujerumani ambao umekuwa mzuri tangu miaka ya 1960.

 Bw. Christoph Tiskens alisema kuwa, mikataba hiyo miwili itagusa sekta muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania, kupitia awamu ya pili ya Mfuko wa Uwekezaji wa Fedha kwa ajili ya Miundombinu ya Maji (Investment Financing Facility) yenye thamani ya Euro milioni 10, ambayo itafungua fursa mpya kwa mamlaka za maji hapa Tanzania kupitia benki za ndani. 

“Kipengele cha kupitia benki za ndani ni muhimu sana kwa sababu mbinu hii ya ubunifu inasaidia kukuza miradi inayoweza kufadhiliwa (bankable projects) kwa ajili ya mamlaka za maji, hasa katika mazingira ambayo Tanzania inahitaji kiasi kikubwa cha uwekezaji na fedha” alisema Bw. Tiskens.

Aliongeza kuwa Mkataba wa pili uliouwekwa saini, unaoitwa "Maendeleo Endelevu ya Mfumo wa Ikolojia ya Maeneo ya Hifadhi", utaimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili pamoja na wadau wa hapa nchini, na mkataba huo unalenga kuimarisha uhifadhi wa maliasili amba oni urithi wa kipekee wa Tanzania na pia kuanzisha minyororo ya thamani kwa ajili ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo haya ya asili ya maliasili, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuleta ajira.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,341,burundani,2,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,252,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,haba,1,habar,1,Habari,5205,habari dodoma,29,habari. dodoma,32,habaria,1,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,533,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,miochezo,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,353,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,5,SAYANSI ANGA,3,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,13,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,urembo,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTALII,1,UTAMADUNI,3,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA Sh. BILIONI 78.6 KUTOKA UJERUMANI
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA Sh. BILIONI 78.6 KUTOKA UJERUMANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZ5Z6bbRQUDTKgvlx5fF8aFPAM-DMOc6qhoCp6tI9AhYQ_14XGay2QKbKrRWwIDpgHmCzbpFMSF7O_By2QdMDiUYZk4zGH_88znzb1OH5poxqizkOh2HyP-IjZ6cKBlToygCas0Oeb7jvqT6X0L6RNwaoMKOMamb32vppIoe_N2kg5mg7p-iDwe7xxg69B/s320/PIX%201.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZ5Z6bbRQUDTKgvlx5fF8aFPAM-DMOc6qhoCp6tI9AhYQ_14XGay2QKbKrRWwIDpgHmCzbpFMSF7O_By2QdMDiUYZk4zGH_88znzb1OH5poxqizkOh2HyP-IjZ6cKBlToygCas0Oeb7jvqT6X0L6RNwaoMKOMamb32vppIoe_N2kg5mg7p-iDwe7xxg69B/s72-c/PIX%201.jpg
Lukwangule Entertainment
https://lukwangule.blogspot.com/2025/07/tanzania-yapokea-msaada-wa-sh-bilioni.html
https://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2025/07/tanzania-yapokea-msaada-wa-sh-bilioni.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy