TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO NA VITI MAALUM...
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM
WATAKAOGOMBEA NAFASI ZA UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KWA MAJIMBO
NA VITI MAALUM
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinapenda kuwajulisha
wanachama wake na umma wa Watanzania kuwa, Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)
katika kikao chake cha tarehe 23 Agosti, 2025 imefikira na kufanya uteuzi wa
mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama
wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum.
Majina ya walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
1. MKOA WA ARUSHA
1.Ndg. Paul Chrisant MAKONDA Arusha Mjini
2.Dkt. Johannes Lembulung’ LUKUMAY Arumeru Magharibi
3.Ndugu Daniel Awack TLEMAH Karatu
4.Dkt. Steven Lemomo KIRUSWA Longido
5.Ndugu Joshua NASSARI Arumeru Mashariki
6.Ndugu Isack COPRIAO Monduli
7.Ndugu Yannick Ikayo NDOINYO Ngorongoro
2. DAR ES SALAAM
1.Ndugu Haran Nyakisa SANGA Kigamboni
2.Ndugu Angellah Jasmine MBELWA KAIRUKI Kibamba
3.Prof. Alexander Kitila MKUMBO Ubungo
4.Ndugu Mariam KISANGI Temeke
5.Ndugu Abdallah Jafari CHAUREMBO Chamazi
6.Ndugu Kakulu Buchard KAKULU Mbagala
7.Ndugu Geofrey Anyosisye TIMOTH Kawe
8.Ndugu Abbas GULAM (Tarimba)Kinondoni
9.Ndugu Mussa Azzan ZUNGU Ilala
10.Ndugu Jerry William SILAA Ukonga
11.Ndugu Bonnah L. KAMOLI Segerea
12.Ndugu Dougras Didas MASABURI Kivule
3. MKOA WA DODOMA
1 Ndugu Kenneth NOLLO Bahi
2.Ndugu Deogratius John NDEJEMBI Chamwino
3.Ndugu Livingston LUSINDE Mvumi
4.Ndugu Kunti Yusuph MAJALA Chemba
5.Ndugu Paschal Inyasa CHINYELE Dodoma Mjini
6.Ndugu Antony MAVUNDE Mtumba
7.Ndugu Ashatu Kachwamba KIJAJI Kondoa Vijijini
8.Ndugu Mariam Ditopile MZUZURI Kondoa Mjini
9.Ndugu George Natany MALIMA Mpwapwa
10.Ndugu George Boniface SIMBACHAWENE Kibakwe
11.Ndugu Isaya Marugumi MOSES Kongwa
4. MKOA WA GEITA
1.Dkt. Dotto Mashaka BITEKO Bukombe
2.Dkt. Jafar Rajab SEIF Busanda
3.Ndugu Cornel Lucas MAGEMBE Chato Kaskazini
4.Ndugu Pascal Lucas LUTANDULA Chato Kusini
5.Ndugu Chacha Mwita WAMBURA Geita Mjini
6.Ndugu Musukuma Joseph KASHEKU Geita
7.Ndugu Kija Limbu NTEMI Katoro
8.Ndugu Fagasoni Aron NKINGWA Mbogwe
9.Ndugu Hallen Nassor AMAR Nyang’wale
5. IRINGA
1.Ndugu Fadhili Fabian NGAJILO Iringa Mjini
2.Ndugu William Vanging’ombe LUKUVI Ismani
3.Ndugu Jackson Gideon KISWAGA Kalenga
4.Dkt. Ritta Enespher KABATI Kilolo
5.Ndugu Dickson Nathan LUTEVELE Mafinga Mjini
6.Ndugu David Mwakiposa KIHENZILE Mufindi Kusini
7.Ndugu Exaud KIGAHE Mufindi Kaskazini
6. KAGERA
1. Eng. Ezra John CHIWELESA Biharamulo Magharibi
2.Ndugu Johansen MUTABINGWA Bukoba Mjini
3.Ndugu Jasson Samson RWEIKIZA Bukoba Vijijini
4.Ndugu Innocent Lugha BASHUNGWA Karagwe
5.Ndugu Khalid Mussa NSEKELL Kyerwa
6.Ndugu Florent Laurent KYOMBO Misenyi
7.Ndugu Adonis Alfred BITEGEKO Muleba Kaskazini
8. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO Muleba Kusini
9.Ndugu Dotto Jasson BAHEMU Ngara
7. KATAVI
1.Ndugu Laurent Deogratius LUSWETULA Kavuu
2.Ndugu Thomas Kampala MAGANGA Katavi
3.Ndugu Haidar Hemed SUMURY Mpanda Mjini
4.Ndugu Anna Richard LUPEMBE Nsimbo
5.Ndugu Moshi Selemani KAKOSO Tanganyika
8. KIGOMA
1.Ndugu Alan Thomas MVANO Kakonko
2.Ndugu Florance George SAMIZI Muhambwe
3.Prof. Joyce NDALICHAKO Kasulu Mjini
4.Ndugu Edibily Kazala KIMNYOMA, Kasulu Vijijini
5.Prof. Pius YANDA Buhigwe
6.Ndugu Peter J. SERUKAMBA Kigoma Kaskazini
7.Ndugu Nuru Issa KASHAKARI (KANDAHALI)Kigoma Kusini
8.Ndugu Clayton Revocatus CHIPONDA (BABA REVO)Kigoma Mjini
9. KILIMANJARO
1.Ndugu Ibrahim Mohamed SHAYO Moshi Mjini
2.Prof. Adolf Faustine MKENDA Rombo
3.Ndugu Anne Kilango MALECELA Same Mashariki
4. Dkt. Mathayo David MATHAYO Same Magharibi
5. Ndugu Morris Joseph MAKOI Moshi Vijijini
6.Ndugu Enock Zadock KOOLA Vunjo
7.Dkt. Godwin Aloyce MOLLEL Siha
8.Ndugu Saashisha Elinikyo MAFUWE Hai
9.Ndugu Ngwaru Jumanne MAGHEMBE Mwanga
10. LINDI
1.Ndugu Mohamed Mussa UTALY Lindi Mjini
2.Ndugu Salma Rashidi KIKWETE Mchinga
3.Ndugu Kinjeketile Ngombale MWIRU Kilwa Kaskazini
4.Ndugu Hasnain Gulamabbas DEWJI Kilwa Kusini
5.Eng. Mshamu Ali MUNDE Liwale
6.Ndugu Nape Mosses NNAUYE Mtama
7.Ndugu Kaspar Kaspar MMUYA Ruangwa
8.Ndugu Fadhili Ally LIWAKANachingwea
11. MANYARA
1.Ndugu Emmanuel John KHAMBAY Babati Mjini
2.Ndugu Daniel Baran SILLO Babati Vijijini
3.Ndugu Zacharia Paulo ISSAAY Mbulu Mjini
4.Ndugu Emmanuel Qambaji NUWAS Mbulu Vijijini
5.Ndugu Asia Abdulikarim HALAMGA Hanang’
6.Ndugu James Kinyasi MILLYA Simanjiro
7.Ndugu Edward Ole Lekaita KISAU Kiteto
12. MARA
1.Ndugu Ester Amos BULAYA Bunda Mjini
2.Ndugu Boniphace Mwita GETERE Bunda Vijijini
3.Dkt. Wilson Mahera CHARLES Butiama
4.Ndugu Mgore Miraji KIGERA Musoma Mjini
5.Prof. Sospeger Mwijarubi MUHONGO Musoma Vijijini
6.Ndugu Jafari Wambura CHEGE Rorya
7.Ndugu Mary Daniel JOSEPH Serengeti
8.Ndugu Esther Nicholaus MATIKO Tarime Mjini
9.Ndugu Mwita Mwikwabe WAITARA Tarime Vijijini
10.Ndugu Kangi Alphaxad LUGORA Mwibara
13. MBEYA
1.Ndugu Adkin Patrick MWALUNENGE Mbeya Mjini
2.Ndugu Patali Shida PATALI Mbeya Vijijini
3.Dkt. Tulia ACKSON Uyole
4.Ndugu Bahati Keneth NDINGO Mbarali
5.Ndugu Baraka Ulimboka MWAMENGO Kyela
6.Ndugu Lutengano George MWALWIBA Busokelo
7.Ndugu Anton Albert MWANTONA Rungwe
8.Ndugu Masache Njelu KASAKA Lupa
14. MOROGORO
1.Abdul Aziz Mohamed ABOOD Morogoro Mjini
2.Hamisi Shabani TALE TALE Morogoro Kusini Mashariki
3.Zuberi Yahaya MFAUME Morogoro Kusini
4.Ahmed Mabkhut SHABIBY Gairo
5.Sarah Msafiri ALLY Mvomero
6.PROF. Palamagamba John KABUDI Kilosa
7.Dennis Lazaro LONDO Mikumi
8. Salim Alaudin HASHAM Ulanga
9. Mecktrids Fratern MDAKU Malinyi
10.Abubakar Damian ASENGA Kilombero
11.Kellen Rose RWAKATARE Mlimba
15. MTWARA
1.Ndugu Joel Arthur NANAUKA Mtwara Mjini
2.Ndugu Arif Selemani PREMJI Mtwara Vijijini
3.Ndugu Abdallah Dadi CHIKOTA Jimbo La Nanyamba
4.Ndugu Katani Ahmadi KATANI Tandahimba
5.Ndugu Rashidi Mohamedi MTIMA Newala Mjini
6.Ndugu Yahaya Esmail NAWANDA Newala Vijijini
7.Ndugu Issa Ally MCHUNGAHELA Lulindi
8.Ndugu Leonard Douglas AKWILAPO Masasi
9.Ndugu Faraji Buriani NANDALA Ndanda
10 Ndugu Yahya Ally MHATA Nanyumbu
16. MWANZA
1.Ndugu Kafiti William KAFITI Morogoro
2.Ndugu Bulala Mtesigwa COSMAS Kwimba
3.Ndugu Bujaga Charles MOSES Sumve
4.Ndugu Kiswaga Destery BONIVENTUREMagu
5.Ndugu Silvery Luboja SALVATORY Misungwi
6.Ndugu nzilanyingi Francisco JOHN Nyamagana
7.Dkt. Swetbert Zacharia MKAMA Ukerewe
8. Ndugu Tabasamu Hamis MWAGAO Sengerema
9.Ndugu Erick James SHIGONGO Buchosa
17. NJOMBE
1.Ndugu Festo Zacharius SANGA Makete
2.Ndugu Joseph Zacharius KAMONGA Ludewa
3.Ndugu Festo John DUGANGE Wangingómbe
4.Ndugu Daniel Godfey CHONGOLO Makambako
5.Ndugu Edwin Enosy SWALLE Lupembe
6.Ndugu Deodatus Philip MWANYIKA Njombe Mjini
18. PWANI
1.Ndugu Mohamed Omary MCHENGERWA Rufiji
2.Ndugu Silyvestry Francis KOKA Kibaha Mjini
3.Ndugu Amina Mussa MKUMBAK ibiti
4.Ndugu Subira Khamis MGALU Bagamoyo
5.Ndugu Ridhiwani Jakaya KIKWETE Chalinze
6.Ndugu Hamoud Abuu JUMAA Kibaha Vijijini
7.Ndugu Abdallah Hamisi ULEGA Mkuranga
8.Dkt. Selemani Said JAFO Kisarawe
9.Ndugu Omari Juma KIPANGA Mafia
19. RUKWA
1.Ndugu Edifonsi Joackim KANONI Kalambo
2.Ndugu Salum Hamad KAZUKAMWE Nkasi Kaskazini
3.Ndugu Moses Ludovico KAEGELE Nkasi Kusini
4.Ndugu Aeshi Khalfan HILALY Sumbawanga Mjini
5.Ndugu Deus Clement SANGU Kwela
20. RUVUMA
1.Ndugu Jonas William MBUNDA Mbinga Mjini
2.Ndugu Judith Salvio KAPINGA Mbinga Vijijini
3.Dkt. Juma Zuberi HOMERA Namtumbo
4.Ndugu Sikudhani Yassin CHIKAMBO Tunduru Kaskazini
5.Ndugu Fadhil Sandali CHILOMBE Tunduru Kusini
6.Ndugu John John NCHIMBI Nyasa
7.Ndugu Dr. Damas Daniel NDUMBARO Songea Mjini
8.Ndugu Omary Marcus MSIGWA Madaba
9.Ndugu Jenista Joakim MHAGAMA Peramiho
21. SHINYANGA
1.Ndugu Ahmed Ally SALUM Solwa
2.Ndugu Azza Hillal HAMAD Itwangi
3.Ndugu Patrobass Paschal KATAMBI Shinyanga Mjini
4. Ndugu Lucy Thomas MAYENGA Kishapu
5.Ndugu Benjamin Lukubha NGAYIWA Kahama Mjini
6.Ndugu Mabula Johnson MAGANGILA Msalala
7.Ndugu Emmanuel Peter CHEREHANI Ushetu
22. SIMIYU
1.Eng. Kundo Andrea. MATHEW Bariadi Mjini
2 Ndugu Masanja Kungu KADOGOSA Bariadi Vijijini
3 Ndugu Simon Songe LUSENGEKILE Busega
4 Ndugu Njalu Daudi SILANGA Itilima
5 Ndugu George Venance LUGOMELA Maswa Mashariki
6 Ndugu Mashimba Mashauri NDAKI Maswa Magharibi
7 Ndugu Salum K Khamis SALUM Meatu
8 Ndugu Musa Godfrey MBUGA Kisesa
23. SINGIDA
1 Ndugu Yagi Maulid KIARATU Singida Mjini
2 Ndugu Haiderali Hussein GULAMALI Ilongero
3 Ndugu Jesca David KISHOA Iramba Mashariki
4 DR. Mwigulu Lameck NCHEMBA Iramba Magharibi
5 Ndugu Thomas Mgonto KITIMA Ikungi Mashariki
6 Ndugu Elibariki Immanuel KINGU Ikungi Magharibi
7 Dkt. Pius Stephen CHAYA Manyoni
8 Ndugu Yohana Stephen MSITA Itigi
24. SONGWE
1 Ndugu Japheti Ngailonga HASUNGA Vwawa
2 Ndugu Onesmo.M. MNKONDYA Mbozi
3 Ndugu David Ernest SILINDE Tunduma
4 Ndugu Condester Michael SICHALWE Momba
5 Ndugu Philipo Augustino MULUGO Songwe
6 Ndugu Godfrey M. KASEKENYA Ileje
25. TABORA
1Ndugu Amosy William MAGANGA Sikonge
2 Ndugu Hawa Subira MWAIFUNGA Tabora Mjini
3 Ndugu Joseph Enock TAMA Kaliua
4 Ndugu Japhael Masanja LUFUNGIJA Ulyankulu
5 Ndugu Hussein Mohammed BASHE Nzega Mjini
6 Ndugu John Stephano LUHENDE Bukene
7 Ndugu Neto Paul KAPALATA Nzega Vijijini
8 Ndugu Henry C. KABEHO Igunga
9 Ndugu Abuubakary A. OMARY Manonga
10 Ndugu Shaffin Ahmedal SUMAR Uyui
11 Ndugu Juma Ramadhani MUSTAFA (KAWAMBA) Igalula
12 Ndugu Margaret S. SITTA Urambo
26. MKOA WA TANGA
1 Ndugu Kassimu Amari MBARAKA Tanga
2 Ndugu Rashidi Abdallah SHANGAZI Mlalo
3 Ndugu Shemdoe Riziki SILAS Lushoto
4 Ndugu Ramadhani Hamza SINGANO (ENG) Bumbuli
5 Ndugu Hamis MWINJUMA (Mwana FA) Muheza
6 Ndugu Twaha Said MWAKIOJA Mkinga
7 Ndugu Salehe Mbwana MHANDO Kilindi
8 Ndugu Jumaa Hamidu AWESO Pangani
9 Ndugu Charles Jacob SUNGURA Handeni Vijijini
10 Ndugu Charles Mhando NJAMA Korogwe Mjini
11Ndugu Timotheo P. MNZAVA Korogwe Vijijini
12 Ndugu Kwagilwa Reuben NHAMALILO Handeni Mjini
|
CHAMA WA CCM WALIOTEULIWA
KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MIKOA KWA UPANDE WA
TANZANIA BARA
1. MKOA
WA ARUSHA
1. Ndugu
Marirta Gido KIVUNGE
2. Ndugu
Chiku Athuman ISSA
2. MKOA
WA DAR ES SALAAM
1. Ndugu
Janeth Elias MAHAWANGA
2. Ndugu
Amina Good SAID
3. MKOA
WA DODOMA
1. Ndugu
Neema Peter MAJULE
2. Ndugu
Jesca Yuda MBOGO
4. MKOA
WA GEITA
1. Ndugu
Regina Henry MIKENZE
2. Ndugu
Josephine Tabitha CHAGULA
5. MKOA
WA IRINGA
1. Ndugu
Rose Cyprian TWEVE
2. Ndugu
Nancy Hassan NYALUSI
6. MKOA
WA KAGERA
1. Ndugu Devotha Daniel MBURARUGABA
2. Ndugu
Samira Khalfani AMOUR
7. MKOA
WA KATAVI
1. Ndugu
Martha Festo MARIKI
2. Ndugu
Taska Restituta MBOGO
8. MKOA
WA KIGOMA
1. Ndugu
Zainabu Athumani KATIMBA
2. Ndugu
Naomi Duncan MWAIPOPO
9. MKOA
WA KILIMANJARO
1. Ndugu
Esther Edwin MALLEKO
2. Ndugu
Zuena Athumani BUSHIRI
10. MKOA
WA LINDI
1. Ndugu
Kijakazi Yunus MOHAMED
2. Ndugu
Zainabu Rashidi KAWAWA
11. MKOA
WA MANYARA
1. Ndugu
Regina Ndege QWARAY
2. Ndugu
Yustina Arcadius RAHHI
12. MKOA
WA MARA
1. Ndugu
Agness Mathew MARWA
2. Ndugu
Ghati Zephania CHOMETE
13. MKOA
WA MBEYA
1. Ndugu
Suma Ikenda FYANDOMO
2. Ndugu
Maryprisca Winfred MAHUNDI
14. MKOA
WA MOROGORO
1. Ndugu
Lucy Similya KOMBANI
2. Ndugu
Sheila Edward LUKUBA
15. MKOA
WA MTWARA
1. Ndugu
Agness Elias HOKORORO
2. Ndugu
Asha Salum MOTTO
16. MKOA
WA MWANZA
1. Ndugu
Mary Francis MASANJA
2. Ndugu
Kabula Enock SHITOBELA
17. MKOA
WA NJOMBE
1. Ndugu
Pindi Hazara CHANA
2. Ndugu
Rebecca Sanga NSEMWA
18. MKOA
WA PWANI
1. Ndugu Hawa Mchafu CHAKOMA
2. Ndugu
Mariam Abdallah IBRAHIM
19. MKOA
WA RUKWA
1. Ndugu
Sylivia Francis SIGULA
2. Ndugu
Jacqueline Chrisant MZINDAKAYA
20. MKOA
WA RUVUMA
1. Ndugu
Jacqueline Ngonyani MSONGOZI
2. Ndugu
Mariam Madalu NYOKA
21. MKOA
SHINYANGA
1. Ndugu
Santiel Erick KIRUMBA
2. Ndugu
Christina Christopher MNZAVA
22. MKOA
WA SIMIYU
1. Ndugu
Tinnar Andrew CHENGE
2. Ndugu
Ester Lukago MDIMU
23. MKOA
WA SINGIDA
1. Ndugu
Marth Nehemia GWAU
2. Ndugu
Aysharose Ndogholi MATTEMBE
24. MKOA WA
SONGWE
1. Ndugu
Juliana SHONZA
2. Ndugu
Neema C. MWANDABILA
25. MKOA
WA TABORA
1. Ndugu
Aziza Slyeum ALLY
2. Ndugu
Christina Solomon MNDEME
26. MKOA
WA TANGA
1. Ndugu
Husna Juma SEKIBOKO
2. Mwanaisha
Ng’anzi ULE
WANACHAMA WA CCM WALIOTEULIWA
KWA NAFASI ZA UBUNGE WA VITI MAALUMU MAKUNDI KWA UPANDE WA
TANZANIA BARA
A: KUNDI LA NGO’S
1. Ndugu
Magreth Baraka EZEKIEL
2. Ndugu
Rahma Riadh KISUO
B: KUNDI LA WANAWAKE WA VYUO VIKUU
1. Ndugu
Selina Henry KINGALAME
2. Ndugu
Asha Juma FERUZI
3. Dkt.
Regina Christopher MALIMA
C: KUNDI LA WAFANYAKAZI
1. Ndugu
Halima Iddi NASSOR
2. Ndugu
Mariam Anzuruni MUNGULA
D: KUNDI LA WANAWAKE WENYE ULEMAVU
1. Ndugu
Ummy Hamisi NDERIANANGA
2. Ndugu
Stela Ikupa ALEX
3. Ndugu
Aisha Msantu MDUYAH
E: KUNDI LA VIJANA
1. Ndugu
Ng’wasi Damas KAMANI
2. Ndugu
Jesca John MAGUFULI
3. Ndugu
Halima Abdallah BULEMBO
4. Ndugu
Lulu Guyo MWACHA
5. Ndugu
Timida Mpoki FYANDOMO
6. Ndugu
Jasmin Chesco NG’UMBI
F: KUNDI LA WAZAZI
1. Dkt.
Catherine Canute JOAKIM
Mwisho
Chama kinawatakia maandalizi
mema ya kampeni za Uchaguzi Mkuu chini ya usimamizi wa uratibu wa CCM ngazi za
Mikoa, Wilaya na Majimbo husika. Aidha, NEC inazitaka kamati za siasa ngazi
zote kujipanga kikamilifu ili Chama chetu kipate ushindi wa kishindo.
COMMENTS