Mwishoni tuliona kosakosa iliyomkuta Richard wakati akiwa na mke wa mtu Mariana na kuishia kwa Kibua. Je kunaendelea nini kwa Marianna na...
Mwishoni tuliona kosakosa iliyomkuta Richard wakati akiwa na mke wa mtu Mariana na kuishia kwa Kibua. Je kunaendelea nini kwa Marianna na vipi kwa Richard. Kibua anafanya alichodhamiria au? Endelea na habari za mujini Utamu wa Sukari guru
Wakati hali ya Richard ilikuwa safi baada ya kupewa sapoti na Kibua, Mariana hali yake ilikuwa mbaya sana, alikuwa amejiandaa kufanya mapenzi na Richard na alipoingia mume wake ambaye kwa miaka yote anaishi naye akalowa kabisa huku moto ukiwa bado unawaka.
"Jitahidi kidogo basi mpenzi" alisema Mariana kwani alikuwa anahangaika na gari la zima moto lilikuwa na shida kubwa kwanza ya kuwaka na lilipowaka lilikuwa na misi kibao.
"Niseme ukweli mama sijalala siku sita zote hizi CP ilikuwa na matatizo makubwa" alisema mume mtu.
Mariana alizungusha kichwa tu aliona kwamba hali yake inaendelea kuwa ngumu akawa anamfikiria Richard kwa miaka 20 amekuwa akimfikiria na siku ile ilikuwa mbaya zaidi kwani alikuwapo na akatoweka.
Fikira za Richard zikiwa usoni mwake, akilini mwake, akijidhani kuwa ni kijana zilimvaa mpaka akawa analia.
"Nisaidie baba , nisaidie"
Mume mtu akajitahidi kusaidia lakini baada ya dakika tano aliona kabisa hawezi kwani mwili ulikuwa hoi na alihitaji kulala, aliomba radhi akafunga duru, Mariana akakimbilia bafuni kama kawaida yake.
Kule bafuni, kilio kiliendelea, ataishi katika maisha yale mpaka lini akafungulia maji ya moto, akafungulia maji ya baridi akaendelea kubadilisha viwango vya joto mpaka akapata joto alililolitaka akakaa katika bafu akaamua kujifanyisha upuuzi aliouzoea.
Mume wa Mariana si kwamba alikuwa hajui kufanya mapenzi, lakini alikuwa mara nyingi anachoka kutokana na kazi zake na kwa miaka mingi alikuwa na shida kubwa ya kumtimizia Mariana shida zake binafsi na amekuwa mara nyingi akiamini kwamba mke wake anamdhulumu, lakini hajawahi kumkamata.
Hali aliyomkuta nayo haikuwa sawasawa ni kama kuna mtu alikuwa anaunga tui la nazi kisha akakimbiia wakati tui limekoza. Hajawahi kumuona mkewe katika hali ile toka alipopiga kelele za Richard wakati alipokuwa naye Luanda Angola walipotoka kupiga masanga na kwenda sambamba katika ndoa yao siku ile.
Alikuja muuliza Richard ni nani, ilikuwa tafarani kwelikweli , lakini ilikuwa lazima amjue mtu, ndipo ilipomtoka simulizi ya kwamba awali alikuwa na nani kwanini aliondoka katika mikono yake na kuangukia kwake na nini matarajio yake.
Alimwambia wazi kwamba hatakaa waonane tena, lakini hajui nini kilimfanya atamke jina lile labda ni kumbukumbu tu iliyotawala penzi kali alilopewa siku ile.
Mariana akiwa bafuni, alikuwa mtu wa ajabu, kwa miaka yote mume aliyemtoa ushamba alikuwa bado katika kichwa chake na kila alipotaka kumtoa alinasa kama nywele zake kichwani.
"Richard unaniua"
Akapiga unyende akazimia.
Mariana alikuja chukuliwa pale katika beseni la kuogea akiwa baridi na mumewe ambaye hakuwa ameelewa nini kimetokea. kama si mwili uliokomaa katika maji, maji yale yangelimuua kwani ni kichwa tu ndicho kilikuwa nje ya beseni, mwili wote ulikuwa ndani.
Mumewe alimpeleka chumbani, akafungua mashine ya joto akachanganya na feni na baada ya dakika tano chumba kilikuwa cha moto. Nusu saa baadae Marianna aliamka akabaki anashangaa, kumetokea nini.
"Laaziz nini kimetokea"
"Nimekukuta umezimia katika beseni la kuogea"
"Uliniacha na moto nimehangaika, mpaka nikasikia kama nina kufa sikukumbuka tena"
Alimtazama mkewe.
"Samahani"
Wakaangaliana, akaelewa akaenda kumpangia vitafunwa asubuhi ile na chai akamwita mezani.
"Aksante kwa mazagazaga"
"Kula kunywa, sitoki. Mchana tuone tunafanya nini kusaidiana naona hali yako sisawasawa hata kidogo"
kweli mchana ule hakutoka na kwa mara ya kwanza katika maisha yao Mariana alisikia mwili wake kidogo ukisisimka.
Maisha yaliandikwa kuendelea hata kama kuna shida. Na kwa kuwa shida ni sehemu ya maisha ya mwanadamu wale wote wanaopata shida hujikuta kama wana akili nzuri wakiwa katika mazingira bora ya kukabili shida zao kimpangilio.
****
Kibua tangu alipomsaidia mzee wa watu ,Richard, alikuwa anakaa mbali naye sana na baada ya kuanza kujua Kiingereza ni kitu gani na masomo ni kitu gani alijizamisha sana katika masomo mwili wake ukatulia kwa muda.
Richard yeye alipokuwa na akili mambo machache yalimjia, alitaka kumjua yule binti vizuri lakini kila alipotekenya swichi alikumbushwa ahadi na alipong'ang'ania alimwambia atamwaga chakula.Richard akajirejea.
Mama mwenye nyumba alimuona kuwa mtu bora kabisa na yeye katika moyo wake alikazana asisababishe sooo kwani masomo yalikuwa yanamkolea na aliona ndio njia pekee ya kutokea nje ya umaskini wake.
Hakika Kibua alifanya juhudi kubwa kusahau vurugu za mwili wake tangu alipomsaidia ofisa huyo wa jeshi aliyekuwa amekula ndumu na kumalizia kwake kwa utata mkubwa.
Pamoja na yeye wakati fulani kupata hamu siku za kwanza za kutaka kumuona mzee huyo akiwa na akili timamu, baadae alibadilisha mawazo na kuwa mkali hata pale, mzee alipokuwa na shida zake binafsi.
Siku moja akiwa anaweka chakula, aliingia mgeni ambaye pasi shaka alimtambua kwamba ni mtoto wa baba mwenye nyumba walifanana mno japo mtoto alionekana na umbile la kiuanariadha, alitulia, vikamshuka vya kumshuka.Alimshangaa ana nini naye, akachelewa kusema karibu.
itaendelea

COMMENTS