Rais John Magufuli akitangaza mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2017. Wakimsikiliza ni...
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu:
255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1
BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR
ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07
Oktoba, 2017 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuongeza idadi
ya Wizara, kuteua Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi
ya Mawaziri na Naibu Mawaziri.
Katika
mabadiliko hayo Mhe. Rais Magufuli ameongeza idadi ya Wizara na Mawaziri wake
kutoka 19 hadi 21, na Naibu Mawaziri kutoka 16 hadi 21.
Iliyokuwa
Wizara ya Nishati na Madini imegawanywa na kutakuwa na Wizara ya Nishati na
Wizara ya Madini, na iliyokuwa Wizara Kilimo, Mifugo na Uvuvi imegawanywa na
kutakuwa na Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Mhe. Rais
Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa Majaliwa ametangaza mabadiliko hayo Ikulu Jijini Dar es Salaam
na lifuatalo ni Baraza la Mawaziri baada ya kufanyiwa mabadiliko.
1.
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora.
I.
Waziri – George
Huruma Mkuchika
2.
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI).
I.
Waziri - Selemani
SaidJafo
II.
Naibu Waziri - Joseph
Sinkamba Kandege
III.
Naibu Waziri - George
Joseph Kakunda
3.
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
I.
Waziri - January
Yusuf Makamba
II.
Naibu Waziri - Kangi
Alphaxard Lugola
4.
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Walemavu.
I.
Waziri - Jenista
Joackim Mhagama
II.
Naibu Waziri - Anthony
Peter Mavunde (Kazi, Vijana na Ajira)
III.
Naibu Waziri - Stella
Alex Ikupa (Walemavu)
5.
Wizara ya Kilimo.
I.
Waziri - Dkt.
Charles John Tizeba
II.
Naibu Waziri - Dkt.
Mary Machuche Mwanjelwa
6.
Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
I.
Waziri - Luhaga
Joelson Mpina
II.
Naibu Waziri - Abdallah
Hamis Ulega
7.
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
I.
Waziri - Prof.
Makame Mbarawa Mnyaa
II.
Naibu Waziri - Mhandisi
Atashasta Justus Nditiye
III.
Naibu Waziri - Elias
John Kwandikwa
8.
Wizara ya Fedha na Mipango.
I.
Waziri - Dkt.
Philip Isdor Mpango
II.
Naibu Waziri - Dkt.
Ashatu Kijaji
9.
Wizara ya Nishati.
I.
Waziri - Dkt.
Medard Matogoro Kalemani
II.
Naibu Waziri - Subira
Hamis Mgalu
10.
Wizara ya Madini.
I.
Waziri - Angellah
Kairuki
II.
Naibu Waziri - Stanslaus
Haroon Nyongo
11.
Wizara ya Katiba na Sheria.
I.
Waziri
- Prof. Palamagamba
John Aidan Mwaluko
Kabudi.
Kabudi.
12.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki.
I.
Waziri - Dkt.
Augustine Philip Mahiga
II.
Naibu Waziri - Dkt.
Susan Alphonce Kolimba
13.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga (JKT).
I.
Waziri - Dkt.
Hussein Ali Mwinyi
14.
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
I.
Waziri - Mwigulu
Lameck Nchemba
II.
Naibu Waziri - Mhandisi
Hamad Yusuf Masauni
15.
Wizara ya Maliasili na Utalii.
I.
Waziri - Dkt.
Hamisi Andrea Kigwangalla
II.
Naibu Waziri - Josephat
Ngailonga Hasunga
16.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
I.
Waziri - William
Vangimembe Lukuvi
II.
Naibu Waziri - Angelina
Sylivester Mabula
17.
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
I.
Waziri - Charles
Paul Mwijage
II.
Naibu Waziri - Mhandisi
Stella Martin Manyanya
18.
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
I.
Waziri - Prof.
Joyce Lazaro Ndalichako
II.
Naibu Waziri - William
Tate Ole Nasha
19.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto.
I.
Waziri - Ummy
Ally Mwalimu
II.
Naibu Waziri - Dkt.
Faustine Engelbert Ndugulile
20. Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
I.
Waziri - Dkt.
Harrison George Mwakyembe
II.
Naibu Waziri - Juliana
Daniel Shonza
21.
Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
I.
Waziri - Mhandisi
Isack Aloyce Kamwelwe
II.
Naibu Waziri - Jumaa
Hamidu Aweso
Wakati huo huo, Mhe.
Rais Magufuli amemteua Bw. Stephen Kagaigai kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.
Kabla ya
Uteuzi huo, Bw. Stephen Kagaigai alikuwa Kaimu Karani wa Baraza la Mawaziri.
Bw.
Stephen Kagaigai anachukua nafasi ya Dkt. Thomas D. Kashilila ambaye atapangiwa
kazi nyingine.
Wateule wote
wataapisha Jumatatu tarehe 09 Oktoba, 2017 saa 3:30 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Gerson
Msigwa
Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es
Salaam
07
Oktoba, 2017
COMMENTS