Ni Shaggy na John legend ndani ya Kempinski

Naam mambo yeshaiva na Shaggy yuko Dar tayari wka lile onyesho ambalo limekamiwa na wengi onyesho la Zain na ameingia jijini na trupu lake lote. katika picha hii ambayo imenaswa kwa karibu kabisa na Michuzi Jr, coincidence ya ajabu kabisa ilitokea kempinski kwani Shaggy wakati anaingia John legend naye alikuwa anatoka, cheki kono na salamu babu kubwa au vipi Big Up michu and thanks Pal


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
Links to this post:
Create a Link
<< Home