
Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, Getrude Mpaka (anayecheka) akiwa ndani ya kiwanda cha Crispo cha Iringa kinachotengeneza viazi vya kutafuna pamoja na Bodi ya wakurugenzi ya DANIDA iliyofadhili kiwanda hicho kupitia mpango wa B2B . Picha hii ni kwa hisani ya Frank Leonard ambaye ana makazi yake kwa watani zangu wala mnyama.
1 comments:
hii post ni ya siku nyingi lakini naomba tujulishe hiki kiwanda kinaitwaje, mmliki wake nani na hizi crisps zinaenda kwa jina gani, asante
Post a Comment