Hatimaye Simba imekubali kumuachia kipa wake juma kaseja kuhamia yanga baada ya wanajangwani kuwalipa wana wa msimbazi shilingi milioni 25 leo kama fidia ya kipa huyo kuvunja mkataba wake. shughuli hii imefanyika muda mfupi uliopita katika ukumbi wa vip wa uwanja wa zamani wa Taifa wakati wa fainali za kombe la vijana chini ya umri wa miaka 17 kati ya kigoma na ruvuma ambapo Ruvuma walaiibuka mabingwa Copa Cocacola.Picha hii iliyohisaniwa na mheshimiwa issamichuzi inawaonyesha viongozi wa Yanga na Simba wakimwagiana wino.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO