OLIVIA Lua ambaye anajulikana kwa filamu zake za kikubwa amefariki katika mazingira yananayoashiria kujiua akiwa na umri wa miaka 23.
Anakuwa mcheza sinema za kikubwa wa tano kufa kuanzia Novemba mwaka jana.
Lua inaelezwa alikufa juzi akiwa katika tiba kwenye nyumba ya soba ya West Hollywood.
Imeelezwa kuwa binti huyo alikunywa dawa mbalimbali alizoshushia na pombe.
Kifo chake ni mfululizo wa matukio ya vifo vya wacheza picha za kikubwa vilivyodaiwa kutokea ama kwa kujiua, kupata maambukizi, kubwia unga kwa kupitiliza na sababu nyingine zisizojulikana.
Kifo cha sasa wataalamu wanasema kitatikisa sekta ya sinema za kikubwa ingawa haijajulikana kama vifo hivyo vyote vitano vinauhusiano.
Imeelezwa kuwa Lua aliingia katika nyumba hiyo kupata tiba ya hamu ya kupitiliza. Bado haijajulikana Muigizaji huyo ambaye anajulikana kwa jina lake la kazi la Olivia Voltaire, aliwezaje kupata dawa hizo.
Wakala wake, LA Direct Models, amethibitisha kifo hicho wakati akizungumza na wadau wa sekta hiyo ya sinema za kikubwa.
Lua alijisajili na wakala huyo Aprili mwaka jana. Ali
Toka Oktoba mwaka jana alikuwa hafanyikazi kutokana na changamoto zilizomkumba ambazo zilisababisha kutafuta nyumba ya Soba kuondoa unga ‘ulionasa’ kichwani mwake.
Lakini siku moja kabla ya kifo chake Olivia Voltaire alitwiti akiw a amevalia nguo nyeusi kwamba hana anachoogopa tena baada ya kuzungukwa na kuhisi kitu kinachomzunguka.Baada ya kifo chake tafsiri yakje inaonekana kwamba hakuogopa tena kifo.
Wakala huyo alisema wakati anaingia katika nyumba hiyo kwa tiba marafiki na familia yake walielezea shaka kubwa na aina nyingi ya dawa alizoandikiwa na kuelezea hatari wanayoiona .
Kifo cha Lua’ ambacho ni cha tano kimetokea wakati pia rafiki yake na mwajiriwa wa pamoja  kwa wakala  L.A. Direct Model, Olivia Nova,20 naye alikutwa amekufa mjini Las Vegas.Wakala huyo amesema kwamba vifo hivyo havihusiani.
Desemba mwaka jana August Ames, ambaye amecheza picha za matusi zaidi ya 270 alijiua . Lakini siku 2 kabnla ya kifo chake alilalamikia unyanyasaji mkubwa katika mtandao baada ya yeye kukataa kuigiza pamoja picha ya kufanya matusi na  mchicha mwiba.
Mchicha mwiba huyo alikuwa maarufu katika sinema za jinsia moja.
Yurizan Beltran, maarufu kwa wapenzi wake kama Yuri Love alikufa baada ya kunywa dawa nyingi zaidi akiwa na umri wa miaka 31. Naye muigizaji wa sinema za matusi (za wakubwa) kutoka Kanada,  Shyla Stylez, 35, alikutwa amekufa kitandani mwake Novemba mwaka jana.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO