Habari za leo ndugu zangu. Show ya "Growing Up African" inayo onesha familia kutoka Tanzania na maisha yao Marekani imeanza kutoa ...
Habari za leo ndugu zangu.
Show ya "Growing Up African" inayo onesha familia kutoka Tanzania na maisha yao Marekani imeanza kutoa video.
Kwenye mwezi huu wa December kila wiki kutuakua na Episode zitazokuja kwenye website yao. Episode ya kwanza inaonekana sasa hivi na tunawaomba watanzania wenzetu waangalie hizi episode hii ili show iingie kwenye network haswa.
Kwenye hizi episode utakutana na ndugu wote kwenye familia kutoka kwa Bea, Eliza, Jesca, Johnson hadi Andrew ambao wana maisha tofauti kwa kila mtu.
Episode nyingine zitakuwa na familia nzima ambao utaona "family dynamic" ya ndugu. Hapo hapo kutakuwa na vipindi kama PSquare kwenye New York City, na harusi kubwa ya ndugu na mambo ya mengi ili watanzania waone maisha yalivyo Marekani.
Kutakuwa na mambo ya kitanzania kila saa kama Party ilivyokua, Washington DC ya Uhuru wa Tanzania na Speech ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alivyofika hapa New York kwenye Delegation.
Hii show kwanza, ni ya sisi Watanzania na tunabidi tuwasikie mnavyosema kabla ya kuwa kwenye International Spotlight na network kubwa huku Marekani. Watu hizo episode wanaweza kwenda kwenye youtube.com, bongo5.com au G5click.com kwenye "Growing Up African kuona hayo mambo.
Website saa hivi iko tayari na yenyewe ina mambo mengi sana kama mawazo ya familia kwenye issues kama muziki, fashion, urembo, na vinginevyo vingi kwenye blog zao. Mwezi wa December utakuwa Introduction ya mambo ya show na bado tunaendelea kusikiliza maoni ya watu huko nyumbani na ndio familia itachagua network ya kuirusha Season ya kwanza.
Familia itakuja Tanzania mwakani, 2011.
Asanteni Sana, na ninaomba ushauri na mawazo kutoka kwenu kama watanzania wenzetu.
Kwa mwenye ushauri zaidi naomba ujisikie huru kuwasiliana nami kwa:
Cellphone: +1917 442 1822
Barua Pepe: lupembejames@yahoo.com
James Lupembe
The concept of the reality show is to present a positive but factual presentation of the blessings and struggles of growing up African. The unique quality about this family is the age range at the current time. All five were born in the 1980's and are in their 20's going through various stages of life. This would be an opportunity first, to entertain various households but in the long run create a positive image for Africa. This isn't the means to the end but an introduction to make African culture mainstream. Attached below is an intro, update and the first episode that premiered through the website on December 9, 2010.
We would again love to hear feedback as we line up different networks and production companies to support the concept of Growing Up African. Each week for the next five weeks there will be an episode premiering each week with also reel.highlights of various events like Haloween, Christmas, Birthdays, Parties etc.
Episode 1 - Adrew's Fiesta
http://www.youtube.com/watch?v=f1i9mnCRRMI
Episode 2 - Jesca New Car (Prvw)
http://www.youtube.com/watch?v=HVfwQ7b419U
Episode 3 - Johnson's Issue
http://www.youtube.com/watch?v=bNgLe9Bnxl4&feature=related
Episode 4 - Bea's 1st Look
http://www.youtube.com/watch?v=ZH8RtwlsChw&feature=related
Introduction to Siblings
http://www.youtube.com/watch?v=4Gq3HDnt51I&feature=related
Wedding Preview
http://www.youtube.com/watch?v=NzTsLr8Tn9g
Website Launch Party
http://www.youtube.com/watch?v=QJH1Sz5Zd0Q
All of these episodes can be watched on the website at www.growingupafrican.com along with personal blogs and new updates on the show's progressions.
Please also remember to visit the show's youtube channel at http://www.youtube.com/user/growinupafrican

COMMENTS