Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa pili kushoto) akioneshwa picha mbalimbali za michoro na Mkurugenzi wa Nyumba ya Sanaa ya 'Ujamaa Art Gallery, Lorna Mashiba wakati alipokwenda kuizindua mwishoni mwa wiki Dar es Salaam. Nyumba hiyo itatumika na wasanii mbalimbali wa michoro kupeleka kazi zao kwa ajili ya kuziuza hasa kwenye soko la nje la kimataifa. Kushoto ni mke wa Meya huyo, Anna Silaa na Msanii wa kujitegemea, Shamma Jaffer.
SOURCE: Fadhili Akida

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO